ndugu weeeee,,huku kusini hakunaaa kwahiyo zenye unafuu ndo hizo maarufu na zinatukanda balaaSijajua unakaa maeneo ya wapi ila kwa Dar ina matawi kadhaa na Atm kila mahali kwa ambayo nayafahamu ni Posta,Kariakoo na Kinondoni
Sio kukalili mkuu mimi nalipwa kwa kupitia CRDB ,Nikishauza bidhaa kwa kampuni X na ndo wanatumia CRDB kufanya miamala yao nilijaribu kuwaomba nitumie bank nyingine wakasema haiwezekani hivi inabidi nikomae nao sasa shida ndo inapokuja.Mkuu ulifungua akaunti ya aina gani?
Sema ndio hivyo wabongo tumekariri benki ni NBC,CRDB na NMB tu.
Kuna benki kama Stanbic ni nzuri sana ni waaminifu na hata ukienda benki yao kwenda kuchukua pesa hukuti foleni unahudumiwa kama VIP ila watu wengi hawaifahamu
Dah pole sana mkuuNilienda kurudisha akaunti yangu ilikuwa dormant zaidi ya mwaka, wakaniambia nitoe Hela 10,000 na namba, nikawapatia wakasema nirudi baada ya masaa mawili akaunti itakuwa tayari.
Narudi nakuta bado wakasema ni mtandao ila akaunti imeisharudishwa, nikaenda nyumbani kesho yake naenda kuweka pesa kwa wakala anasema akaunti bado haifunguki.
Narudi tawini naambiwa akaunti yangu ni dormant sana haiwezi kufunguka Tena nifungue nyingine nawaambia wafungue wanasema NIDA imekataa ni akaunti Moja TU kwa Kila NIDA.
Nawauliza kwahiyo siruhusiwi kufungua akaunti Tena? ..wakajibu NDIYO!
Basi naombeni msimbazi wangu, wakasema wao hawajui ilipo kama Nina ushahidi wa niliyemwachia nitoe, siku hiyo hakuwepo yule mdada mwenye Rasta, mnene mweusi niliyemkuta Jana ila alikuwepo jamaa mwingine TU mrefu mweupe.
Sasa ushahidi gani jamani na wakati ata simu hawaruhusu.
Kifupi "Nilidhurumiwa na CRDB tawi la MASASI" shilingi elfu kumi.
Hapana ni Benki inayowaumiza watejaCRDB Benki..."Benki Inayowasikiliza Wateja..."
Okay kama ni hivyo ukishalipwa usiache pesa ibaki CRDB ukipokea tu malipo hamisha chap.Sio kukalili mkuu mimi nalipwa kwa kupitia CRDB ,Nikishauza bidhaa kwa kampuni X na ndo wanatumia CRDB kufanya miamala yao nilijaribu kuwaomba nitumie bank nyingine wakasema haiwezekani hivi inabidi nikomae nao sasa shida ndo inapokuja.
Pole Sana...Hapana ni Benki inayowaumiza wateja
Amia Azania sure you will enjoyWakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante
Wakuu kwa sasa hata ukitaka upitishie pesa yako kwa account ya wakala nao wanakataa wanasema wanaogopa kukogombana na wateja benki ina makato ambayo hayaelleweki hata kumwambia mteja unashindwa uanzie wapi dah hii ni balaa.
waizi sana crdbNilienda kurudisha akaunti yangu ilikuwa dormant zaidi ya mwaka, wakaniambia nitoe Hela 10,000 na namba, nikawapatia wakasema nirudi baada ya masaa mawili akaunti itakuwa tayari.
Narudi nakuta bado wakasema ni mtandao ila akaunti imeisharudishwa, nikaenda nyumbani kesho yake naenda kuweka pesa kwa wakala anasema akaunti bado haifunguki.
Narudi tawini naambiwa akaunti yangu ni dormant sana haiwezi kufunguka Tena nifungue nyingine nawaambia wafungue wanasema NIDA imekataa ni akaunti Moja TU kwa Kila NIDA.
Nawauliza kwahiyo siruhusiwi kufungua akaunti Tena? ..wakajibu NDIYO!
Basi naombeni msimbazi wangu, wakasema wao hawajui ilipo kama Nina ushahidi wa niliyemwachia nitoe, siku hiyo hakuwepo yule mdada mwenye Rasta, mnene mweusi niliyemkuta Jana ila alikuwepo jamaa mwingine TU mrefu mweupe.
Sasa ushahidi gani jamani na wakati ata simu hawaruhusu.
Kifupi "Nilidhurumiwa na CRDB tawi la MASASI" shilingi elfu kumi.
hata DCB NI WAZURI PIAAmia Azania sure you will enjoy
Yani kwamba nikae niandike andiko ambalo linahitaji uhalali wako aisee pole sana siwezi kukuwekea amount wanaotumia au waliotumia wanaelewa ninachomaanisha.