Kero kwa Bank ya CRDB

Kero kwa Bank ya CRDB

Mkuu ulifungua akaunti ya aina gani?
Sema ndio hivyo wabongo tumekariri benki ni NBC,CRDB na NMB tu.
Kuna benki kama Stanbic ni nzuri sana ni waaminifu na hata ukienda benki yao kwenda kuchukua pesa hukuti foleni unahudumiwa kama VIP ila watu wengi hawaifahamu
Sio kukalili mkuu mimi nalipwa kwa kupitia CRDB ,Nikishauza bidhaa kwa kampuni X na ndo wanatumia CRDB kufanya miamala yao nilijaribu kuwaomba nitumie bank nyingine wakasema haiwezekani hivi inabidi nikomae nao sasa shida ndo inapokuja.
 
Nilienda kurudisha akaunti yangu ilikuwa dormant zaidi ya mwaka, wakaniambia nitoe Hela 10,000 na namba, nikawapatia wakasema nirudi baada ya masaa mawili akaunti itakuwa tayari.

Narudi nakuta bado wakasema ni mtandao ila akaunti imeisharudishwa, nikaenda nyumbani kesho yake naenda kuweka pesa kwa wakala anasema akaunti bado haifunguki.

Narudi tawini naambiwa akaunti yangu ni dormant sana haiwezi kufunguka Tena nifungue nyingine nawaambia wafungue wanasema NIDA imekataa ni akaunti Moja TU kwa Kila NIDA.

Nawauliza kwahiyo siruhusiwi kufungua akaunti Tena? ..wakajibu NDIYO!

Basi naombeni msimbazi wangu, wakasema wao hawajui ilipo kama Nina ushahidi wa niliyemwachia nitoe, siku hiyo hakuwepo yule mdada mwenye Rasta, mnene mweusi niliyemkuta Jana ila alikuwepo jamaa mwingine TU mrefu mweupe.

Sasa ushahidi gani jamani na wakati ata simu hawaruhusu.

Kifupi "Nilidhurumiwa na CRDB tawi la MASASI" shilingi elfu kumi.
Dah pole sana mkuu
 
Okay kama ni hivyo ukishalipwa usiache pesa ibaki CRDB ukipokea tu malipo hamisha chap.
Lakini mimi nina Akaunti 3,moja Stanbic,ya pili NBC na ya tatu ni CRDB
NA hizi zote tatu ni Current account(Akaunti za biashara) na sijawahi kupata hizo changamoto.
Kama wewe ni mfanyabiashara na ulifungua Saving Account kabadilishe ufungue Current Account hii haina makato ya hovyohovyo.
 
Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante

Wakuu kwa sasa hata ukitaka upitishie pesa yako kwa account ya wakala nao wanakataa wanasema wanaogopa kukogombana na wateja benki ina makato ambayo hayaelleweki hata kumwambia mteja unashindwa uanzie wapi dah hii ni balaa.
Amia Azania sure you will enjoy
 
Nilienda kurudisha akaunti yangu ilikuwa dormant zaidi ya mwaka, wakaniambia nitoe Hela 10,000 na namba, nikawapatia wakasema nirudi baada ya masaa mawili akaunti itakuwa tayari.

Narudi nakuta bado wakasema ni mtandao ila akaunti imeisharudishwa, nikaenda nyumbani kesho yake naenda kuweka pesa kwa wakala anasema akaunti bado haifunguki.

Narudi tawini naambiwa akaunti yangu ni dormant sana haiwezi kufunguka Tena nifungue nyingine nawaambia wafungue wanasema NIDA imekataa ni akaunti Moja TU kwa Kila NIDA.

Nawauliza kwahiyo siruhusiwi kufungua akaunti Tena? ..wakajibu NDIYO!

Basi naombeni msimbazi wangu, wakasema wao hawajui ilipo kama Nina ushahidi wa niliyemwachia nitoe, siku hiyo hakuwepo yule mdada mwenye Rasta, mnene mweusi niliyemkuta Jana ila alikuwepo jamaa mwingine TU mrefu mweupe.

Sasa ushahidi gani jamani na wakati ata simu hawaruhusu.

Kifupi "Nilidhurumiwa na CRDB tawi la MASASI" shilingi elfu kumi.
waizi sana crdb
 
Yani kwamba nikae niandike andiko ambalo linahitaji uhalali wako aisee pole sana siwezi kukuwekea amount wanaotumia au waliotumia wanaelewa ninachomaanisha.

Kwa mfano umepokea 100m, ukakatwa 5000 nafikiri utakuwa Mpumbavu ukilalamika, lakini kama umepokea 50,000 ukakatwa 5000 unaweza lalamika!

Ni kwamba tu una asili ya ubishi wa Kipumbavu na huna Malengo uli po post malalamiko yako!
 
Ulipofungua acc yako bank ulichagua saving au current kuna moja inakula pesa yako moja haili unatunziwa
 
Kwa nini Simbanking inasumbua?. Pia CRDB naona kama wanalazimisha kuwa kila mteja sharti ajiunge na simbanking. Hii ni kwa sababu gani?.
 
Back
Top Bottom