Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,177
- 2,361
Wakuu hivi naomba kuuliza hivi CRDB BANK wanakata malipo ya huduma ya kutunza fedha kila siku na kwa kila muamala unaoingia mana dah sio kwa haya makato yanayoendelea yani hela ikiingia tu wanakata 4000,au 5000,kisha unapotoa wanakata sio chini ya 10000 hapo ni kwa amount kwanzia Mil.1 chini ya Mil wanakata 10000.hii imekaaje wakuu tena tukipata majibu kutoka kwao itakua vyema zaidi.asante
Wakuu kwa sasa hata ukitaka upitishie pesa yako kwa account ya wakala nao wanakataa wanasema wanaogopa kukogombana na wateja benki ina makato ambayo hayaelleweki hata kumwambia mteja unashindwa uanzie wapi dah hii ni balaa.