KERO kitengo cha Dharula Tanesco Mbezi Beach

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
2,687
2,000
Jamani mimi nina Kero yangu kubwa kutoka kwa kitengo cha Dharula Tanesco mvezi beach, unaweza kupiga simu leo j3 ukawaeleza shida ya umeme kwenye nguzo zilizopo nyumbani wakaja baada ya siku tatu, sasa kama hilo tatizo linamadhara si mtakuta watu wamekufa? Hii tabia sio mzuri, tangu juzi sina umeme nyumbani kwangu kutokana na nguzo kulipuka nimetoa Taarifa leo ni siku ya tatu na hawajafika, kila nikipiga simu wananiandikia taarifa na kunambia wanakuja na hawatokei, kama hiyo huduma haipo au mnaitaji tuilipie basi mtuambie tujue moja :(
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom