Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,219
- 12,929
Hii ndiyo taarifa niliyonayo sasa!
Nimefika ofisi ya Tanesco Tabata baada ya kurudi nyumbani kukuta hakuna umeme, nikajaribu kupiga namba zao za Tanesco Tabata zote hazipatikani, nikakumbuka nina namba ya simu ya Tanesco Viwandan Vingunguti kitengo cha Emergence nazo hazipatikani nikaona nipande ofisin kwao Tabata (Posta).
Nimefika pale nikakuta walinzi na mafundi ambao wanarudi shift ya day, walinzi walinibia kitengo cha Emergence kimevunjwa hivo chukua namba kwenye karatasi ndo wametupa leo kuwa watapatikana kwa namba hizo!
Nikachukua namba zile nimeziweka kama kiambatanisho kwenye karatasi hapo chini kupiga hazikupatikana pia! Walinzi wakaendelea kunipa taarifa kuwa kwasasa ofisi zote za tanesco kitengo cha Emergence kimeondolewa ila ukiwa na taarifa upige makao makuu ila hajabu namba hawana ata wao wenyewe! Nikakumbuka miezi kadhaa huko nyuma nilipiga simu mpaka saa 7 usiku hapo Tabata na simu ikapokelewa ila kwasasa ata wahudumu pale wanaotakiwa kupokea report za emergence hakuna ofis zimefungwa.
Nikaingia Google nikapata namba hii hapa (+255) 768 985 100 nikapiga ikapatikana wakanithibitishia kuwa kweli vitengo vya emergence wameondoa kwenye ofisi zao zote kimebaki makao makuu tu! Nikamuuliza hamuoni mnaanza kutengeneza urasimu? Akajibu hapana ndiyo tunaboresha huduma! Basi nikawapa maelekezo na tatizo ilo nikaendelea kuwasisitiza kuwa waya umekatika uko chini kabisa tena kwenye maji na sitopenda litokee janga la kufa mtu
Zoezi likaishia hapo wadau now niko nyumbani nasubiri tanesco watafika lini.
TANESCO
Update*****
Saa 22:40 bado Tanesco hawajafika eneo la tukio.
Saa 23:46 bado Tanesco hawajifika eneo la tukio.
Saa 06:28 bado Tanesco hawajafika eneo la tukio.
Saa 12:50 Tanesco wamefika eneo la tukio.