Hali ngumu kweli,kwa hiyo ongezeko la shilingi 100 ndio limekufanya ufungue Uzi asubuhiasubuhi hii??Samahani mkuu, nimeandika nikiwa kwenye basi nasafiri.
Nadhani nimerekebisha
Huoni kuna kuoneana hapo? Ulipe nauli ya bus ambayo ndani yake kuna ushuru halafu ukiingia stand tena ulipe ushuru getini kwanini?Hali ngumu kweli,kwa hiyo ongezeko la shilingi 100 ndio limekufanya ufungue Uzi asubuhiasubuhi hii??
Hizo ndizo wananunulia mabasi na malori unayoyaona yakiongezeka kila kukicha, in short hiyo ndiyo kula kwa urefu wa kambaHabari!
Nataka kufikisha kero hii kwa niaba ya wasafiri wanaoingia na kutoka katika Stand Kuu ya Mabasi, Dodoma. Kila mtu anajua kuwa ni wajibu wa raia kulipa kodi, lakini ni lazima kuwe na mantiki katika hiyo kodi. Nimeshangazwa sana na utaratibu wa ushuru uliowekwa katika stand hii ambao sijaona mantiki yake.
Nataka kufikisha dukuduku langu kwenu waungwana. Kuna suala limenikera sana. Kuna utaratibu wa kulipa ushuru getini haijalishi una ticket ya kielectronic au ya kawaida tangu 29/11/2023. Mbaya zaidi wamepandisha ni Tsh 300 badala ya Tsh 200.
Hii imekaaaje? Reasoning yangu inakataa kuhusu huu utaratibu.
Ni kwamba sasa raia wa nchi hii wanawekewa kodi, tozo na ushuru kila mahali bila hata kujali hali ngumu ya uchumi iliyoko mtaani?Kodi zote ktk madini yanayochombwa karibia nchi nzima na rasilimali zingine hazitoshi kuipatia serikali fedha inayohitaji?
Naomba msaada kuwauliza wahusika ni kwanini wameamua hivi na kusababisha kero na usumbufu kwa wasafiri wengi. Kero hii inasababisha foreni isiyo na sababu na pia abiria wengine wakikosa hiyo 300 wanashindwa kusafiri. Naomba kuwasiilsha
Kasoro Morogoro, wao wanatoza kwa asiye na tiketi tuMbona naona ndiyo utaratibu karibu katika stendi zote kubwa mkuu?
Nadhani ukionyesha Tiketi mlangoni hutowi hiyo 300,tatizo ABIRIA wanataka wakakatie tiketi kwenye basi ndani,na kumbuka wanaoingia stendi sio wote wasafiri hivyo hilo tozo sawa tuHuoni kuna kuoneana hapo? Ulipe nauli ya bus ambayo ndani yake kuna ushuru halafu ukiingia stand tena ulipe ushuru getini kwanini?
Amesema haijalishi una ticket lakini kuingia getini lazima 300 ulipeNadhani ukionyesha Tiketi mlangoni hutowi hiyo 300,tatizo ABIRIA wanataka wakakatie tiketi kwenye basi ndani,na kumbuka wanaoingia stendi sio wote wasafiri hivyo hilo tozo sawa tu
Halafu jiulize sasa hizo tozo, na kodi zinafanya kazi gani katika hiyo stendi?Habari!