Huku pia hatutaki wenye hiyo tabia, labda aende sabato.WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
Kwa haraka haraka tu, wewe ni maskini wa akili..NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Njoo kanisani kwetu, hizo kero hakuna. Sisi tunaingia kanisani saa moja asubuhi na misa inaisha saa sita mchana.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Nenda kwa Mwamposa ukapegie Yeso makofeNB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Mnamtangishatangisha sana.Ataanza kulia sasa!Huku pia hatutaki wenye hiyo tabia, labda aende sabato.
Wewe huna tofaut na huyu myebusi MoisemusajiografiiBinafsi huwa sipati shida na mambo hayo. Nikiona kanisani wanazingua basi natoka nje halafu naisubiri swala ya mchana pale msikitini.
Mimi ni nusu mkatoliki nusu muislamu, hivyo wakinisumbua huku naenda kule.
Mlalamishi sana huyu ndugu.Kwa haraka haraka tu, wewe ni maskini wa akili..
Muda wote huo mnafanya nini?Njoo kanisani kwetu, hizo kero hakuna. Sisi tunaingia kanisani saa moja asubuhi na misa inaisha saa sita mchana.
Ustaadh mwenzangu huyo.Sisi ni machotara weusi.Wewe huna tofaut na huyu myebusi Moisemusajiografii
Tupo makambi hadi tule ubwabwa kwa mandondo.Muda wote huo mnafanya nini?
Sabato atapaweza sasa kama masimango madogo kayashindwaHuku pia hatutaki wenye hiyo tabia, labda aende sabato.
Asante Sana mtumish kwa kuniitaNgoja RC waje!
Beira Boy