Cha kushangaza sana kumbe haya mambo yanaambukiza. Nimejaribu kuangalia sekta nyingine mambo ni yaleyale! Operation za jeshi la police za tinted na spotlight sijui zimeishia wapiMshana upo vizuri sana,umelete hoja nzuri na umeipangilia.Tumebakwa tukaachwa njiani
[emoji120] [emoji817] [emoji111]Katika ubora wako Mkuu Mshana Jr. Nondo iliyokwenda shule hii.
Huyu ni msanii underground anayetafuta single ya kutokea, kila Mara anatupia singles bahati mbaya hizo single zinashindwa Ku hitKama anashindwa kushirikiana na wenzake na kuwafikisha wenzake kileleni ina maana hana nguvu za kutosha
[emoji111] [emoji817] [emoji3] google tu utaionaMwanzo nilijua hii mada itawagusa zaidi wanaume wa Dar, lakini nilivyozidi kushuka niliongeza umakini katika kusoma na kutafakari. Hii ni hoja nzito Mkuu wangu.
RC anachofanya ni kugusa, anajifanya kung'ata kisha kupuliza na baadae kupotezea huku mwanzoni akibeba sifa lukuki.
By the way, Mkuu mshana jr unatumia simu gani? Hahaha.... ( INFINIX-X551)
[emoji23][emoji23][emoji23] wapenda ngono tumekuja tunakutana na intelligensia ya ajabu!!! Mkuu kapangilia hoja yake vizuri sanaDah, wewe Mshana ni Noma, huu utakimbiliwa na wapenda ngono zaidi, hii itatoa uhuru wa mawazo. Kuliko heading ingekua " Rc..... Hajawahi kutufikisha kileleni". Hapo lingekuja povu la ajabu sana.
Ha ha ha haaa.. Me mwenyewe nilikuja kingono ngono.. Mshana ni mjanja sana, huu ni uzi wake wa pili nausoma ukiangalia juu juu utafikiri ni uzi wa kwenye jukwaa la Mambo ya Kikubwa. KUUUUMBE.[emoji23][emoji23][emoji23] wapenda ngono tumekuja tunakutana na intelligensia ya ajabu!!! Mkuu kapangilia hoja yake vizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ana akili ya kiuandishi!Ha ha ha haaa.. Me mwenyewe nilikuja kingono ngono.. Mshana ni mjanja sana, huu ni uzi wake wa pili nausoma ukiangalia juu juu utafikiri ni uzi wa kwenye jukwaa la Mambo ya Kikubwa. KUUUUMBE.