KERO: Barabara zinazoingia kituo cha mabasi Mawasiliano (Simu 2000)

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Wasalamu wakuu!

Naona ni kero na aibu kubwa kwa kituo hiki kikubwa jijin Dar es salaam kwa miundombinu yake inayoingiia na kutoka kutokua na kiwango cha lami!

Naomba wahusika walione hili, au na hapa tumsubiri rais Magufuli?
 
Back
Top Bottom