Yani umeandika as if wanaJf wote tunapajua hapo au tuko Dar/Tz. Lina shida gani? Picha je?
Wadau,
Kuna hili bango hapo kwenye round about ya kwa kakobe yaan ni hatari sana nyakati za usiku sababu lina mwanga mkali sana unaokupiga machoni kama ukiwa unatokea Mwenge kwenda Ubungo. Kama ni mgeni unaweza kugonga hio round about.
Ushauri mamlaka ihamishe ilo bango au ilipandishe juu maana ni fupi
Badili njia kama macho yako mabovu. Bango lipo kisheria na tathmini ilifanywa na wataalamu mpaka kutoa kibali. Hatuwezi kusikiliza maoni ya mgonjwa mmoja wa macho. (tutamsaidia pesa ya kupima macho).:crying:
Yani umeandika as if wanaJf wote tunapajua hapo au tuko Dar/Tz. Lina shida gani? Picha je?
Ukifatilia sana utakuta hiyo kampuni ni ya wachaga! Na anaelalamika utakuta pia ni mchaga!!!
Kwanza kabisa gari unalotumia lina makosa itabidi nikuandikie faini.(kioo cha gari kimepasuka).
Pili hilo bango kama la Lowasaa liachwe tu hata kama linaumiza macho,ila kama la Magufuri tupa kule.
Hapo sio kwa kakobe mkuu.
Ni opposite na Mlimani City.
Pia pale junction ya Mnazi-Mmoja kuna bango kama hilo hilo. Zaidi ni kuwa mkabala na hiyo screen kuna jengo la glass ukuta wote. Mwanga unazidi yani mpaka wanaotembea utaonekana mpaka pichu!Wadau,
Kuna hili bango hapo kwenye round about ya kwa kakobe yaan ni hatari sana nyakati za usiku sababu lina mwanga mkali sana unaokupiga machoni kama ukiwa unatokea Mwenge kwenda Ubungo.