Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..
mkuu kigogo itakuwa kweli...mana jamaa yupo njema kiutendaji na hata shule inaonekana ipo sasa labda wanaona atachukua nafasi...vita vya ukuu kanda maalum maana mzee wangu sele mwezi wa nane anatundika daluga...
Kagusa maslahi ya wakubwa, madanguro na madawa ya kulevya. To be honest Hamas Yuko vizuri but ndiio hivyo
Kashindwa kuua huyo?
Ameshindwa kuua hata mtu moja!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mimi binafsi nimefurahi maana ameachia sana askari wake kula rushwa.Mfano. kituo cha polisi mbezi: ukiwekwa mahabusu hupati dhamana hadi siku nne ili rushwa ya dhamana iwe kubwa.Cjui ni baada ya kuja ocs mpya pako hovyo sana, na askari hushirikiana na raia kubambikia kesiyaani kati ya makamanda wote jamaa anapiga kazi..na anaonekana ni msomi ...lakini hii serekali ndo haitaki watu kama hawa...
Rpc wa kinondoni kapigwa chini kapelekwa makao makuu kusoma magazeti...wambura ndo anakuja kuwa rpc kinondoni ...kazi ipo..
source ni mke wangu anafanya kazi makao ya polisi na ndiye aliyechapisha bafua ya kuhamishwa kenyela
Usikurupuke Bro...! Jipange kwa cheo alichonacho sasa wakimpa U Rpc n kama wanamdharirisha.....tena kinondoni Hivi unajua wazifa ambao kapewa sasa hivi...Acheni Majungu nyie Raia
Mkuu huyo yuko kwenye kundi la raia wauaji.Kwani wewe sio raia? Au ndio nyie raia wakakamavu mnajiona makamanda?