Mkuu umenivunja mbavu hapo uliposema wamesimama mbele ya mlima Knjaro kwenye view ya upande wa Kenya!!Kenya kuna view ya Mlima Kilimanjaro,
Ndiyo wamesimama hapo
jifunzeni uvumilivu huu mchezo hauhitaji hasira ingawa miss Kenya juzi tu alionyesha hasira kwenye miss world,
Sisi ni ndugu tuliokaribiana sana, kuoneana wivu wa maendeleo na kutofautiana ni lazima ila tuwe happy life is short usichafukwe na roho sana as if Mkenya sio binadamu au Mtz sio binadamu.
Kwa hiyo ulitegemea maneno uyakute kwenye nyayo..???WaTanzania ipo maneno mengi tuu mdomoni
Kweli kwa % gunia.Kenya kuna view ya Mlima Kilimanjaro,