Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kirerenya, Dec 28, 2016.

 1. k

  kirerenya JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2016
  Joined: Aug 27, 2013
  Messages: 666
  Likes Received: 692
  Trophy Points: 180
  Nimeona kadi hii ya Christmas yenye picha ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Rutto.
  Lakini ukiangalia vizuri kwenye background ya picha hiyo utauoana mlima Kilimanjaro,

  Nimejiuliza sana; Kwanini wakenya wanapenda kusafiria nyota zetu?

  Huu mlima waliuweka kwenye ndege zao za Kenya Airways, wakaona haitoshi.

  Sasa wameuweka tena kwenye kadi za Christmas ili kuendelea kuiaminisha dunia kuwa Upo kwao, hivyo kukuza sekta ya utalii kwa ulaghai wa namna hii.

  Utakumbuka pia binti wa Raila Odinga akiwa anahutubia umoja wa mataifa aliwahi kusema bonde la Olduvai lipo Kenya japo alikuja kukanusha lakini nina hakika watanzania Tungekaa Kimya bado dunia ingeaminishwa bonde hii hili lipo Kenya.

  Wakuu tabia Hii ya Kenya kusafiria nyota ya Tanzania Mpaka lini?

  IMG-20161228-WA0033.jpg
   
 2. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2016
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 1,517
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  Bao la mkono hilo
   
 3. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2016
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Sisi hatuna tabia ya kutangaza vitu vyetu
   
 4. Ukback255

  Ukback255 Senior Member

  #4
  Dec 28, 2016
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 172
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 80
  Haaaah wazee wa fulsa ujanja ujanja,Chezeeni tu utalii kwa ma vat mtaleta feedback mwakani June
   
 5. Msolo

  Msolo JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2016
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 617
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Sisi wa Tanzania tunalalamika sana, lakini hatufanyi juhudi za kutosha katika kutangaza vivutio vyetu. Mpaka tutakapoamka wacha Kenya wafanye.
   
 6. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2016
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,487
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  WaTanzania ipo maneno mengi tuu mdomoni
   
 7. sonaderm

  sonaderm JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2016
  Joined: Nov 9, 2015
  Messages: 526
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 180
  Mbona hakuna sehemu wameandika huo ni mlima kilimanjaro?What if wanamaanisha mlima mwingine uliopo Kenya..Tunajistukia tu...
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2016
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 28,849
  Likes Received: 29,053
  Trophy Points: 280
  Kenya kuna view ya Mlima Kilimanjaro,
  Ndiyo wamesimama hapo

  jifunzeni uvumilivu huu mchezo hauhitaji hasira ingawa miss Kenya juzi tu alionyesha hasira kwenye miss world,
  Sisi ni ndugu tuliokaribiana sana, kuoneana wivu wa maendeleo na kutofautiana ni lazima ila tuwe happy life is short usichafukwe na roho sana as if Mkenya sio binadamu au Mtz sio binadamu.
   
 9. AKASINOZO

  AKASINOZO JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2016
  Joined: Aug 22, 2016
  Messages: 297
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 80
  Mh Kenyata anaonekana ni mpiga vyombo mzuri sana
  Sura haijifichi kama ya mchungaji Kibapa
   
 10. Mwanzi1

  Mwanzi1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2016
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 2,333
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Waache na wao wajipatie, Tanzania tuna vingi mpaka vingine tunashindwa kuhesabu.
   
 11. K

  KayScarpetta JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2016
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 1,092
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Mie naona sawa tu kwakweli, sasa nani mwingine tanzania angeweza kukumbuka kufanya hivyo?! Acha mlima upewe hadhi unayostahili
   
 12. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2016
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 18,054
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sisi tuko busy na Faru John
   
 13. Super Sub Steve

  Super Sub Steve JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2016
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,775
  Likes Received: 1,109
  Trophy Points: 280
  Sasa kama sisi hatuutangazi unataka wafanyaje
   
 14. M

  MENGELENI KWETU JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2016
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 4,472
  Likes Received: 7,549
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenivunja mbavu hapo uliposema wamesimama mbele ya mlima Knjaro kwenye view ya upande wa Kenya!!
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2016
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,872
  Likes Received: 3,139
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ulitegemea maneno uyakute kwenye nyayo..???
   
 16. kkenzki

  kkenzki JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2016
  Joined: Oct 27, 2012
  Messages: 941
  Likes Received: 638
  Trophy Points: 180
  Walipe kodi tu
   
 17. M

  MENGELENI KWETU JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2016
  Joined: Oct 23, 2013
  Messages: 4,472
  Likes Received: 7,549
  Trophy Points: 280
  Wacha wakenya wajichukulie fursa tu..
  Tanzania si tunahangaika na Ujinga Ujinga wa Faru John na girlfriend wake Faru Hadija!!
   
 18. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2016
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Hawa ni wapiga dili wazoefu. Hata wakenya wote wanakubali kuwa hawa ni watu wa kuogopwa
   
 19. Slim5

  Slim5 JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2016
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 11,886
  Likes Received: 6,833
  Trophy Points: 280
  Kweli kwa % gunia.
   
 20. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2016
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 9,748
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  #Tell Uhuru to stop using Mt Kilimanjaro on his fotos background shame on him and his government full of thieves!
   
Loading...