Waswahili wanasema akufukuzae hakwambii toka utamuona vitendo vyake tu
Kwa wiki kadhaa tumewasikia Madereva wa magari ya mizigo yanayoenda nchi zilizoizunguka Tanzania wakilalamika kunyanyaswa na kubaguliwa kwamba wao ndo waenezaji wa korona
Inafahamika kiongozi wa Tanzania anamsimamo tofauti kabisa na hao viongozi wengine kwa namna wanavyoshughulika na Corona. Hivi wanafikiri watambadilisha? Hataki lockdown kama wao na wala hataki kufunga mipika
Cha ajabu Kenyatta na Kagame na wale wa Zambia wanafunga mipaka halafu wanawaruhusu Madereva tu ambao nao wanalalamika kunyanyaswa
Kwanini wasiamue moja tu la kusema hatutaki kitu kinaitwa Mtanzania kiingie nchini mwetu? Kwanini wanasita sita? Yaani wao Madereva wao waje kwetu kiroho Safi halafu wakwetu wanyanyaswe, kwani hao wao wakija kwetu wanakuja na Corona proof!? Wanavaa miili isiyopata Corona?
Mwanaume ukifanya uamuzi unaweka uamuzi uliosimama. Sitaki Mtanzania aingie kwangu na Mimi wa kwangu hawaji Tanzania. Full stop! Sio kuleta maigizo ya kusumbua watu tu.