Kenyatta, Kagame, Museveni na wengine walioizunguka Tanzania mnashindwa nini kusema hatuwataki Madereva kutoka Tanzania?

Mr Kind

Senior Member
Mar 4, 2017
178
308
Waswahili wanasema akufukuzae hakwambii toka utamuona vitendo vyake tu

Kwa wiki kadhaa tumewasikia Madereva wa magari ya mizigo yanayoenda nchi zilizoizunguka Tanzania wakilalamika kunyanyaswa na kubaguliwa kwamba wao ndo waenezaji wa korona

Inafahamika kiongozi wa Tanzania anamsimamo tofauti kabisa na hao viongozi wengine kwa namna wanavyoshughulika na Corona. Hivi wanafikiri watambadilisha? Hataki lockdown kama wao na wala hataki kufunga mipika

Cha ajabu Kenyatta na Kagame na wale wa Zambia wanafunga mipaka halafu wanawaruhusu Madereva tu ambao nao wanalalamika kunyanyaswa

Kwanini wasiamue moja tu la kusema hatutaki kitu kinaitwa Mtanzania kiingie nchini mwetu? Kwanini wanasita sita? Yaani wao Madereva wao waje kwetu kiroho Safi halafu wakwetu wanyanyaswe, kwani hao wao wakija kwetu wanakuja na Corona proof!? Wanavaa miili isiyopata Corona?

Mwanaume ukifanya uamuzi unaweka uamuzi uliosimama. Sitaki Mtanzania aingie kwangu na Mimi wa kwangu hawaji Tanzania. Full stop! Sio kuleta maigizo ya kusumbua watu tu.
 
Hakuna mbabe wa njaa, yaani hakuna!
 
Mkuu, Kenyatta, Museveni na Kagame ni watu makini kuliko mawazo mepesi yanavyoweza kufikiria.

Hao waheshimiwa hawana shida na madereva wa Tanzania wala Tanzania yenyewe kama nchi. Wana taabu na Corona bila kujali inatokea wapi.

Kwao kupigana au kufa kwa corona hawamwachii kazi hii Mungu.

Hauingii kwao bila ya kupimwa na kuthibitishwa kuwa huna Corona.

Tatizo liko wapi?

Sisi kama kwetu njoo tu hata kama una Corona, hapo ndipo pa kujiuliza.
 
Mkuu, Kenyatta, Museveni na Kagame ni watu makini kuliko mawazo mepesi yanavyoweza kufikiria.

Hao waheshimiwa hawana shida na madereva wa Tanzania wala Tanzania yenyewe kama nchi. Wana taabu na Corona bila kujali inatokea wapi.

Kwao kupigana au kufa kwa corona hawanwachii kazi hii Mungu.

Bado umakini wao siuoni. Inasemekana Madereva wao wanakuja Tanzania na kurudi kwao bila bugudha kama waipatayo watanzania wanapoenda kwao, hapo umakini uko wapi!?

Halafu kituko kingine hasa Kenya maana video zilisambaa sana, unawafungia watu ndani kuzuia mikusanyiko halafu mikusanyiko hiyo unairuhusu wakati unagawa chakula. Hapo umakini uko wapi?

Hapa Tanzania, Mkuu wetu alibugi sehemu ndogo sana na hii nadhani ni kwasababu ya hulka yake ya kupenda vitu kuliko uhai wa watu

Sehemu aliyobugi ni kutojiandaa kwa kuimarisha mazingira ya utoaji wa huduma za afya.

Yaani angenunua vifaa kinga mapema hata kabla ya Ugonjwa kuingia, akaandaa hospital zitakazotumika, akazuia ndege zilizokuwa zinatoka Ulaya na Marekani.

Kinachofanya huyu Mkuu wetu apingwe na wengi ni kwasababu ya kutojua kupangilia maneno wakati anaongea na alivyoshindwa kufanya hayo maandalizi mapema

Lakini kiufupi, strategy ya lockdown hakuna aliyenufaika nayo katika hizi nchi zetu maana hata huko South Africa wenyewe wamekili kwamba vifo vilikuwa vingi na vilifichwa ili kutoleta taharuki

Huu ugonjwa unakuzwa kwasababu za kibiashara na hili tutalielewa baadae sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, Kenyatta, Museveni na Kagame ni watu makini kuliko mawazo mepesi yanavyoweza kufikiria
Wana umakini gani hao? Corona ni contagious, hata ujifungie chumbani na mke wako mtaambukizana tu.

Hakuna kitu kama "kupunguza maambukizi".

Watapona leo, kesho wanaambukizwa upya. Maambukizi yakiisha, yanaingia upya wanaambukizwa tena.

Mtakuwa mnapiga mark time kama manyumbu. Watu wenye akili timamu walishaona mbali wakajua lockdown ni upumbafu wa mwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya muda si mrefu wahutu wa Tanzania watagundua ujinga wao kwa sababu watajua kwamba hawakuweza kuulinda uchumi wa nchi kama walivyodhani.

Na wataona jinsi watakavyotengwa kibiashara na mataifa mengine ki uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado umakini wao siuoni. Inasemekana Madereva wao wanakuja Tanzania na kurudi kwao bila bugudha kama waipatayo watanzania wanapoenda kwao, hapo umakini uko wapi!?

Halafu kituko kingine hasa Kenya maana video zilisambaa sana, unawafungia watu ndani kuzuia mikusanyiko halafu mikusanyiko hiyo unairuhusu wakati unagawa chakula. Hapo umakini uko wapi?

Hapa Tanzania, Mkuu wetu alibugi sehemu ndogo sana na hii nadhani ni kwasababu ya hulka yake ya kupenda vitu kuliko uhai wa watu

Sehemu aliyobugi ni kutojiandaa kwa kuimarisha mazingira ya utoaji wa huduma za afya.

Yaani angenunua vifaa kinga mapema hata kabla ya Ugonjwa kuingia, akaandaa hospital zitakazotumika, akazuia ndege zilizokuwa zinatoka Ulaya na Marekani.

Kinachofanya huyu Mkuu wetu apingwe na wengi ni kwasababu ya kutojua kupangilia maneno wakati anaongea na alivyoshindwa kufanya hayo maandalizi mapema

Lakini kiufupi, strategy ya lockdown hakuna aliyenufaika nayo katika hizi nchi zetu maana hata huko South Africa wenyewe wamekili kwamba vifo vilikuwa vingi na vilifichwa ili kutoleta taharuki

Huu ugonjwa unakuzwa kwasababu za kibiashara na hili tutalielewa baadae sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kuna mambo ya kuweka sawa hapo. Madereva wao wanaokuja Tanzania wakirudi kwao quarantine 14 days inawahusu. Makampuni yao mengine yameweka madereva wao kubakia kwetu pekee na wengine kubakia kwao pekee. Hapo ndipo kwenye ile dhana ya dereva wa Tanzania akabidhi gari kwa dereva wa Rwanda aliyeko salama ndani ya Rwanda. Umakini kwa kuanzia uko hapo!

Mkuu wetu hapingwi kwa kushindwa kupangilia maneno tu. Matendo mkuu. Hii siyo siasa. Wapi takwimu? Au sasa ndiyo kazipiga stop kabisa tangia mwigulu kuapishwa?

Bora hata kama maneno angekuwa ana koroga ila asikoroge matendo. "Actions speak louder than words".

Mikusanyiko yoyote ikipungua ni added advantage katika kukabili kasi ya maambukizi ya ugonjwa huu. "Ndo ndo ndo si chururu". Ukisimamisha mikusanyiko yote kama ilivyokuwa Rwanda kwenye total lockdown hiyo ni best case scenario. Ukisimamisha mikusanyiko yote ila ikawepo kwenye kugawa chakula, ubaya wa hali hauwezi kulingana na wasiosimamisha kabisa. "Heri ya nusu shari kuliko shari kamili".

Mkuu angekuwa kajipanga kama unavyosema kuzuia madege, kuandaa mahospitali, vifaa vya kinga nk, hapo unarejea kwenye hoja ya ugonjwa kutoingia nchini.

Alishauriwa cha kufanya ugonjwa usiingie nchini. Ni mkaidi. Ugonjwa usingeingia. Ni hivyo hivyo kama anavyo shauriwa sasa kuzuia ugonjwa usisambae zaidi naye anashupaza shingo.

Hakuna anayeifahamu vizuri lockdow anayeweza ku idunisha kama strategy makini zaidi kwenye kupambana na huu ugonjwa. Imefanya kazi China, Italy, Spain, USA, Germany nk ambalo ugonjwa ulikuwa umefika katika stage mbaya sana, achilia mbali kwa wenzetu kama Uganda, Rwanda nk. Huko kote dividend ya lockdown imeonekana wazi na maisha yameanza kurejea kwenye hali ya kawaida.

Huu ugonjwa upo, ni hatari na unauwa.

Mkuu huu ugonjwa haukuzwi. Kwa biashara ipi ambapo biashara zote zina kufa? Labda kwa biashara ya barakoa na sanitizer?
 
Wana umakini gani hao? Corona ni contagious, hata ujifungie chumbani na mke wako mtaambukizana tu.

Hakuna kitu kama "kupunguza maambukizi".

Watapona leo, kesho wanaambukizwa upya. Maambukizi yakiisha, yanaingia upya wanaambukizwa tena.

Mtakuwa mnapiga mark time kama manyumbu. Watu wenye akili timamu walishaona mbali wakajua lockdown ni upumbafu wa mwendawazimu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwenye akili zake akiona maneno kama haya: nyumbu, mwendawazimu, upumbavu nk anajua mwenye nayo hana hoja.

Mkuu acha nipige nyungu kwanza hawa wenye matusi uchwara tupa kule.
 
Kwako
Mkuu, Kenyatta, Museveni na Kagame ni watu makini kuliko mawazo mepesi yanavyoweza kufikiria.

Hao waheshimiwa hawana shida na madereva wa Tanzania wala Tanzania yenyewe kama nchi. Wana taabu na Corona bila kujali inatokea wapi.

Kwao kupigana au kufa kwa corona hawanwachii kazi hii Mungu.

Hauingii kwao bila ya kupimwa na kuthibitishwa kuwa huna Corona.

Tatizo liko wapi?

Sisi kama kwetu njoo tu hata kama una Corona, hapo ndipo pa kujiuliza.

wewe unaeandika hapo inawezekana unayo corona na unadunda tu na familia yako na ukitaka kujua kuwa unayo nenda mpakani na kenya kama hujarudishwa mgonjwa corona. Kwa hiyo kama haikusumbui wewe chapa kazi, mbona kuna watu wapo na mareria lakini wanadunda, ila ukizidiwa nenda hospitali, kwa hiyo tusichoshane, na ugonjwa usiojulikana ni lini utaisha, narudia nenda mpakani ndo utajua unayo corona.
 
Mkuu kuna mambo ya kuweka sawa hapo. Madereva wao wanaokuja Tanzania wakirudi kwao quarantine 14 days inawahusu. Makampuni yao mengine yameweka madereva wao kubakia kwetu pekee na wengine kubakia kwao pekee. Hapo ndipo kwenye ile dhana ya dereva wa Tanzania akabidhi gari kwa dereva wa Rwanda aliyekwisha salama ndani ya Rwanda. Umakini kwa kuanzia uko hapo!

Mkuu wetu hapingwi kwa kushindwa kupangilia maneno tu. Matendo mkuu. Hii siyo siasa. Wapi takwimu? Au sasa ndiyo kazipiga stop kabisa tangia mwigulu kuapishwa?

Bora hata kama maneno angekuwa ana koroga ila asikoroge matendo. "Actions speak louder than words".

Mikusanyiko yoyote ikipungua ni added advantage katika kukabili kasi ya maambukizi ya ugonjwa huu. "Ndo ndo ndo si chururu". Ukisimamisha mikusanyiko yote kama ilivyokuwa Rwanda kwenye total lockdown hiyo ni best case scenario. Ukisimamisha mikusanyiko yote ila ikawepo kwenye kugawa chakula, ubaya wa hali hauwezi kulingana na wasiosimamisha kabisa. "Heri ya nusu shari kuliko shari kamili".

Mkuu angekuwa kajipanga kama unavyosema kuzuia madege, kuandaa mahospitali, vifaa vya kinga nk, hapo unarejea kwenye hoja ya ugonjwa kutoingia nchini.

Alishauriwa cha kufanya ugonjwa usiingie nchini. Ni mkaidi. Ugonjwa usingeingia. Ni hivyo hivyo kama anavyo shauriwa sasa kuzuia ugonjwa usisambae zaidi naye anashupaza shingo.

Hakuna anayeweza anayeifahamu vizuri lockdow kuweza ku idunisha kama strategy makini zaidi kwenye kupambana na huu ugonjwa. Imefanya kazi China, Italy, Spain, USA, Germany nk ambalo ugonjwa ulikuwa umefika nk, achilia mbali kwa wenzetu kama Uganda, Rwanda nk. Huko kote dividend ya lockdown imeonekana wazi na maisha yameanza kurejea kwenye hali ya kawaida.

Huu ugonjwa upo, ni hatari na unauwa.

Mkuu huu ugonjwa haukuzwi. Kwa biashara ipi ambapo biashara zote zina kufa? Labda kwa biashara ya barakoa na sanitizer?
Naomba nichangie hili la mwisho kwamba hakuna biashara ndani ya corona

Umewaza barakoa na sanitizer na kuvidunisha kwamba si biashara kubwa lakini hukujipa muda kwa kuangalia ukubwa wa soko la biashara hiyo

Wameongezeka wateja wangapi wa barakoa na sanitizer baada ya Ugonjwa huu? Unayaona kidogo?

Tuachane na hayo. Umewaza kuhusu machine za kupima Ugonjwa? Vipi kuhusu reagents? Vipi kuhusu PPE? Hizo sio biashara?

Tutoke kwenye upande mmoja wa kuuza bidhaa, tuje kwenye kuua biashara.

Hadi sasa zimekufa biashara ngapi? Umejiuliza kwamba kuua biashara ya mwenzako ni sehemu ya strategy za ushindi?

Leo IMF na WB wanahimiza nchi maskini zichukue mikopo kukabiliana na madhara ya Covid-19, umejiuliza hiyo mikopo itunufaisha zaidi nchi gani?

Leo China wako bize kutoa misaada kwa nchi zilizoathirika kana kwamba wao hawajaathirika na covid-19, unadhani wao wanahuruma sana na nchi zetu hizi kuliko wao wenyewe? Je, hii si sawa na vyandarua vya Msaada wa Marekani kupambana na Malaria badala ya kutokomeza mbu?

Ukimwi ulianzia Marekani, baadae ukasambaa hadi Afrika. Ni miradi mingapi inawanufaisha wamarekani kupitia Ukimwi ulioko Afrika? Hasara walioipata wakati ukimwi unawapiga huko kwao bado hawaja cover na kupata faida hadi leo?

Kuna kitu kimoja kinachotukwamisha huku kwetu Afrika. Tunatabia ya kuangalia vitu kwa ufupi. Hatufikiri ya mbele

Hii corona si kwamba dawa hakuna! Hii corona si kwamba ni natural! Ingekuwa natural Marekani na China wasingerushiana maneno hadharani mbele ya watoto

Kinachogombewa hapa kuna mtu atapindua meza ya kushika uchumi wa dunia kupitia corona.

Leo Marekani amehama kuishutumu China kwamba walificha taarifa za Corona na imeanzia kwenye maabara zao, leo wameanza kusema China anadukua taarifa za utafiti wao wa chanjo ya corona. Bado sisi tunaona lockdown ndio Msaada kwetu

Leo Italy iko kimyaa na hakuna anayeitaja kwasababu hakuna vifo na wala dunia haitaki kujua wamefanyaje

Leo WHO wamekuwa watabiri kama manabii kwamba kutakuwa na ongezeko Afrika wala si Ulaya wala Marekani. Kwasababu wanajua target ni wapi na ndiomaana tafiti zote zinaelekea huku

Wanaokufa Uingereza na Marekani taarifa zinasema wanaasili ya Africa. Yaani Ugonjwa unawaruka wazungu unatafuta Waafrika, hii yote kwasababu wanajua target ni wapi

Haya yote yanatakiwa yatufanye tufikiri nje ya box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwako

wewe unaeandika hapo inawezekana unayo corona na unadunda tu na familia yako na ukitaka kujua kuwa unayo nenda mpakani na kenya kama hujarudishwa mgonjwa corona. Kwa hiyo kama haikusumbui wewe chapa kazi, mbona kuna watu wapo na mareria lakini wanadunda, ila ukizidiwa nenda hospitali, kwa hiyo tusichoshane, na ugonjwa usiojulikana ni lini utaisha, narudia nenda mpakani ndo utajua uanyo corona.

Inawezekana nina corona na ninadunda. Lakini sina sababu ya kuwafikiria nitakao waambukiza na kuwa kwa sababu yangu tu, watakufa?

Wote wale labda tu kwamba ni wazee, wenye kisukari, pumu, seli mundu, cancer, pumu, magonjwa ya moyo, ukimwi, figo nk wakajifie tu kwa sababu ya ubinafsi wangu?

Ni kweli ndicho unacho sema mkuu?
 
Mkuu kuna mambo ya kuweka sawa hapo. Madereva wao wanaokuja Tanzania wakirudi kwao quarantine 14 days inawahusu. Makampuni yao mengine yameweka madereva wao kubakia kwetu pekee na wengine kubakia kwao pekee. Hapo ndipo kwenye ile dhana ya dereva wa Tanzania akabidhi gari kwa dereva wa Rwanda aliyeko salama ndani ya Rwanda. Umakini kwa kuanzia uko hapo!

Mkuu wetu hapingwi kwa kushindwa kupangilia maneno tu. Matendo mkuu. Hii siyo siasa. Wapi takwimu? Au sasa ndiyo kazipiga stop kabisa tangia mwigulu kuapishwa?

Bora hata kama maneno angekuwa ana koroga ila asikoroge matendo. "Actions speak louder than words".

Mikusanyiko yoyote ikipungua ni added advantage katika kukabili kasi ya maambukizi ya ugonjwa huu. "Ndo ndo ndo si chururu". Ukisimamisha mikusanyiko yote kama ilivyokuwa Rwanda kwenye total lockdown hiyo ni best case scenario. Ukisimamisha mikusanyiko yote ila ikawepo kwenye kugawa chakula, ubaya wa hali hauwezi kulingana na wasiosimamisha kabisa. "Heri ya nusu shari kuliko shari kamili".

Mkuu angekuwa kajipanga kama unavyosema kuzuia madege, kuandaa mahospitali, vifaa vya kinga nk, hapo unarejea kwenye hoja ya ugonjwa kutoingia nchini.

Alishauriwa cha kufanya ugonjwa usiingie nchini. Ni mkaidi. Ugonjwa usingeingia. Ni hivyo hivyo kama anavyo shauriwa sasa kuzuia ugonjwa usisambae zaidi naye anashupaza shingo.

Hakuna anayeweza anayeifahamu vizuri lockdow kuweza ku idunisha kama strategy makini zaidi kwenye kupambana na huu ugonjwa. Imefanya kazi China, Italy, Spain, USA, Germany nk ambalo ugonjwa ulikuwa umefika nk, achilia mbali kwa wenzetu kama Uganda, Rwanda nk. Huko kote dividend ya lockdown imeonekana wazi na maisha yameanza kurejea kwenye hali ya kawaida.

Huu ugonjwa upo, ni hatari na unauwa.

Mkuu huu ugonjwa haukuzwi. Kwa biashara ipi ambapo biashara zote zina kufa? Labda kwa biashara ya barakoa na sanitizer?
Mkuu unakosea kufananisha lockdown ya kimkakati baina ya nchi za ulaya na afrika...
Kweny nature ya mfumo wetu wa Maisha kwa ujumla wake ktk kujipatia kopato na hitaji la kila siku... Labda kwenye ushauri mwingine uliotoa inaweza kuwa suluhu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom