Chadema ni tegemeo kwa nani?
CHADEMA wajifunze nini kwa kenyatta asiyetii katiba ya nchi? Katiba ya kenya inamtaka rais mstaafu, akishaondoka madarakani, baada ya miezi sita anaachana na siasa na kama ni kiongozi wa chama cha siasa anaachia nafasi hiyo.Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Nimnyanyapae shoga wa nini na kinyeo chake hata kama kaamua kukiingizia chuma au kaa la moto?Kwahiyo wewe unyanyapayi mashoga?
Au nimekuelewa tofauti mkuu wangu!
CHADEMA wajifunze nini kwa kenyatta asiyetii katiba ya nchi? Katiba ya kenya inamtaka rais mstaafu, akishaondoka madarakani, baada ya miezi sita anaachana na siasa na kama ni kiongozi wa chama cha siasa anaachia nafasi hiyo.
Ahsante kwa muongozo mkuu..!Nimnyanyapae shoga wa nini na kinyeo chake hata kama kaamua kukiingizia chuma au kaa la moto?
Ccm wanalo la kujifunza au CDM? Punguza BangiImekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Kama ni haki, wanaotakiwa kujifunza ni ccm wezi wa haki ya wananchi ya kupiga kura kuchagua viongozi wanaowataka. Huwezi ukamhukumu anayeporwa haki yake kila wakati.Wanacho cha kujifunza kwamba haki huja kwanza dhidi ya yote.
Wote wasioamini kwenye haki:
"Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi."
Wanaweza kujiunga na ninyi Lumumba huko!
Chadema ni tegemeo kwa nani?
Hatuna cha kujifunza toka kenya! Unatetea mashoga ni aibu yako sana! Kwa nini mashoga wasinyanyapaliwe? Wewe unawaona kuwa sawa? Hata mbwa hawafanyi ushoga sembuse watu!Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Wakati Mbowe anashika gobole pale Biiotii mimi Nilikuwa namchora tu kutokea Bwawani Kilimanjaro Hotel 😄😄😄Kwa familia yako. Maana bila CHADEMA hupati buku Saba. Kila siku unaanzisha nyuzi 100 kumponda Mbowe na CHADEMA ili ule.
Ccm wanalo la kujifunza au CDM? Punguza Bangi
Kama ni haki, wanaotakiwa kujifunza ni ccm wezi wa haki ya wananchi ya kupiga kura kuchagua viongozi wanaowataka. Huwezi ukamhukumu anayeporwa haki yake kila wakati.
Unatoa ushauri, unalalamika, ama unajiongelesha wewe mwenyewe!?Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Kutufanya sisi tuwe mambumbumbu kama Wajaluo wa Kenya hili kwetu Tanzania haliwezakani.Imekuwa ni kawaida kwa wajuaji uchwara wa bongo kumwona Raila kama mkabila na mpuuzi fulani.
How Ruto allies provoked Uhuru to get involved in politics
Kenyatta kusimama na Odinga njoo 2027 kama bado siyo funzo kwa wajuaji uchwara hawa watajifunza lini?
Cha kusikitisha zaidi baadhi ya wajuaji uchwara hao wamo hata ndani ya vyama tegemeo kama Chadema.
Watu wasiojua maana ya haki, wasioamini katika haki au wasiosimama na haki bIla kujali maslahi binafsi hawana msaada wowote katika chama au nchi.
Watu wenye kuwanyanyapaa wapalestina, waukraine, na hata mashoga hawawezi katu kuwa hazina kwa chama au taifa lolote lenye kuamini kwenye ustaarabu.
Ushauri wa bure kwa Chadema, fukuza watu wote wa namna hiyo mara moja. Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na rundo la wasiojitambua.
Waende kwa mambuzi huko ambako kukalia haki za wengine kwao ni jadi.
Watoto watupu wa MAENEO ya busunzu wanaoshangaaa masipika tuuuWengine hawa hapa:
View attachment 2632054
Samia anawajua. Wewe huwajui, au ni kujishaua tu tokea pande za wapi ndugu?
Huyu jamaa ni shoga siyo.Kudai haki ni ngumu sana, wengi wanaijua haki ni ile inayowahusu wao pekee, hawajui kama kuna haki za wengine nazo wanatakiwa kuziheshimu, haki zinatofautiana kulingana na makundi tofauti, heshimu haki za wenzio ili nao waheshimu zako, hii ndio sheria ya mchezo.
Mfano hilo la ushoga, huwa naona wengi wakilaani ushoga wanaegemea kwenye vitabu vitakatifu kwamba haviruhusu, sawa hata kama haviruhusu, nani anayetupa sisi wengine mamlaka ya kuwahukumu mashoga?
Ukweli ni kwamba wakati ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja, tukumbuke vipo vingine vinatugeukia wenyewe, hilo ni kumbusho tosha toka kwa Mungu kuja kwetu wanadamu, kwamba ni yeye pekee ndie asiye na kasoro, mkamilifu.
Mbona tunajivika uungu kuwahukumu mashoga kinafiki ikiwa nasi tuna dhambi zetu nyingi tumezikalia kimya kimya? kazi ya kuhukumu ni ya Mungu pekee, wanadamu tusijivike hilo jukumu.
Pia kwa wazazi tunaolaani ushoga/usagaji kwa kuogopa wanetu wasijekujifunza, hapa la msingi ni jukumu letu kuwa karibu na wanetu kuhakikisha tunawasimamia karibu kimalezi, this is the only option.
Hii dunia haiwezi kwisha dhambi, wala tusipoteze muda kushindana na nature, Mungu kwa uwezo wake kama angekuwa hawataki mashoga hapa duniani angewaondoa, lakini siku zote andiko lazima litimie, kuhangaika kulifuta kwa midomo na kunyooshea wengine vidole ni kujidanganya.