Kenya's SGR vs Tanzania's

Juakali1980

JF-Expert Member
Mar 21, 2015
798
506
COMING SOON !! Treni za umeme zinaletwa TZ, Dar-Moro? Dar- Dom? Dar-Mwanza dakika ngapi?
By

Millard Ayo
on

February 4, 2017

http://millardayo.com/trl01/#respond
Screen-Shot-2017-02-04-at-3.59.21-AM.png

Hatimae serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya uchukuzi imesaini mkataba wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa Reli ya kisasa itakayowezesha Treni zinazotumia umeme kuanza kufanya kazi kwa mara ya kwanza Tanzania.

Waziri wa uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema ‘Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza unatumia saa 36 ambapo kuna kilometa 1219 lakini Treni mpya za umeme zikianza kufanya kazi safari itakua rahisi zaidi‘

Leo tunashuhudia utiaji saini makubaliano ya ujenzi wa sehemu ya kipande cha reli kati ya Dar es salaam na Morogoro chenye urefu wa kilometa 300 na mkataba huu utakua baina ya RAHACO kampuni hodhi ya rasilimali za reli na ubia kati ya kampuni ya UTURUKI na URENO’

Screen-Shot-2017-02-04-at-4.19.38-AM.png

Kwa Wenzetu

‘Itakua kwa gharama ya USD BILIONI 1, Milioni 215, laki 2 na 82 ikijumuisha VAT USD Milioni 185 na laki 3, hii ni kwa ajili ya gharama za ujenzi kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro

Katika Afrika Treni kubwa ambayo itakwenda spidi kubwa itakua ni ya Tanzania (Kilomita 160 kwa saa), Treni nyingine itayokua na spidi kubwa itakua ni Morocco itakua kilometa 200 kwa saa, naamini na sisi Tanzania tutabadilisha mawazo kwenye Treni ya Dar Mwanza tutakua Kilometa 200 kwa saa

Screen-Shot-2017-02-04-at-4.20.26-AM.png

Kwa Wenzetu

Kama hufahamu, wakati wa utawala wa Uingereza marekebisho kidogo yalifanyika kwenye usafiri wa Treni Tanzania kutoka Treni inayotumia mvuke kuja kwenye injini ya Diesel, hata hivyo miundombinu hii kwa sasa ni chakavu na mwendokasi sio chini ya Kilomita 30 kwa saa ambayo kutoka Dar kwenda Mwanza unachukua saa 36‘ – Profesa Mbarawa

Mda wa mradi huu wa Umeme kukamilika ni miaka miwili na nusu baada ya ujenzi kuanza, kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro Treni mpya ya umeme itatumia saa moja na dakika 16, Dar es salaam kwenda Dodoma itakua masaa mawili na nusu, Dar-Mwanza saa saba na nusu’ – Profesa Mbarawa

ULIPITWA? Tazama ajali ya Treni iliyotokea Tanzania, Mabehewa yakiondolewa na Reli ikirekebishwa Ruvu Pwani, play kwenye hii video hapa chini
 
Hizo trains niliskia ni za kusafirisha watu kwanza kabla haijakua electrified, ju stima ya kuielectrify hatuna sai
 
Hizo trains niliskia ni za kusafirisha watu kwanza kabla haijakua electrified, ju stima ya kuielectrify hatuna sai

Quote:

16406893_1397780093628003_8028044465511016777_n.jpg


16406671_1397780163627996_174731453677522499_n.jpg


16299377_1397780190294660_1741929738828814812_n.jpg


16426166_1397780103628002_1293850502789545072_n.jpg


Yours are way better than this things that are just painted us new...1920s chinese trains as Modern...There is a bombshell coming soon from RAILA ABOUT THE SGR inflated cost...
 
a wapi kama unajua physics, hiko kichwa cha train hakiwaezi kuvuta mabehewa kwa speed hiyo! center of gravity yake ipo juu sana!
we jua kama wewe ni mmoja wa wale wanacompare train ya kenya ya mizigo na za abiria za wengine your IQ is wanting
 
a wapi kama unajua physics, hiko kichwa cha train hakiwaezi kuvuta mabehewa kwa speed hiyo! center of gravity yake ipo juu sana!

sikiliza speed yake hapa


Zitaangu sivyo geza?
You guys are so funny. Si mtupe specs za bullet trains zenu. Hivi ile $1.1 Mara $1.2 for Mara 300km, oh sorry 400km. Hiyo deal inakuja na vichwa vingapi hivi vya train?
 
TAZARA RAILWAY

images

images

Locomotive in the past being off loaded
images

current photo of TAZARA Locomotives
 
Back
Top Bottom