Kenya's Safaricom M-pesa in tz.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Apr 5, 2011
594
163
Wadau, nahitaji msaada wa kufahamishwa kama safaricom ya kenya wanatoa huduma za m-pesa hapa tanzania kwa sisi wateja wao wa safaricom tuishio tanzania. Thanx in advans.
 
Sidhani hili lipo. Ila hili ni changamoto kwa kampuni za simu kuanzisha mobile money transfer across the region mfano baina ya m pesa safaricom na m pesa vodacom.
 
Nahisi inawezekana, nilikuwa duka moja la m-pesa mjini arusha nikasikia mkenya akipokea hela kutoka kwao
 
hiyo bado kidogo..ni kama unahamisha pesa nje ya nchi inataka maelezo na commissions na pia detailed proof kwa mpokeaji
 
hiyo bado kidogo..ni kama unahamisha pesa nje ya nchi inataka maelezo na commissions na pia detailed proof kwa mpokeaji

Hayo mambo ya detailed proof ya mpokeaji ni Tanzania tu. Usumbufu huo haupo nadhani East Africa nzima sio Kenya sio Uganda. Sijua sisi Watanzania tunaishi enzi zipi. Tunabania wafanyabiashara ndogo ndogo, while mafisadi wanasafirisha mabilioni nje. Bure kabisa.
 
Cha kushangaza ni uganda hyo huduma inapatikana..unaeza mtumia mteja wa safaricom na aka withdraw without any tatizo.
 
hiyo bado kidogo..ni kama unahamisha pesa nje ya nchi inataka maelezo na commissions na pia detailed proof kwa mpokeaji
Hizo barriers ndo tunazivunja na kupunguza gharama. Banks are simply becoming OBSOLETE in money transfers.
 
Back
Top Bottom