Hivi nadhan vilikuwa kwa program ya one laptop per child, you dont expect watoto wa primary wapewe mashine za i7, hizi zinatosha mno kwa kujifunzia basics na programing kwa primary level! One Laptop per class sijaielewa, ina maana darasa zima kutakuwa na laptop moja? hapo haina maana!!!...Lakini naona wenzetu wanathubutu, Tanzania nadahani hata one laptop per school itakuwa ndoto za alinacha!
One laptop per class haina maana, ili mtoto ajifunze kitu cha maana ni sharti awe na computer kila mwalimu anapofundisha anafanya kwa vitendo, tofauti na hapo itakuwa sawa na sisi Tanzania watoto wanajifunza computer theoretically, hata waalimu wanaofundisha hawana hizo computer wanazisoma kwenye vitabu tu!
Hivi nadhan vilikuwa kwa program ya one laptop per child, you dont expect watoto wa primary wapewe mashine za i7, hizi zinatosha mno kwa kujifunzia basics na programing kwa primary level! One Laptop per class sijaielewa, ina maana darasa zima kutakuwa na laptop moja? hapo haina maana!!!...Lakini naona wenzetu wanathubutu, Tanzania nadahani hata one laptop per school itakuwa ndoto za alinacha!
mi mawazo yangu naona bora iwe one projector per teacher mazingira ya kujifunza magumu sana wanafunz hadi 1000 kila darasa kwenye masomo ya wote kama development studies