Kenya's $13 billion railway is taking shape

Which school did this writer/ reporter attended? It means she doesnt know that there is mega bagamoyo port project which is managed by chinese or she has special interests in her report? Poor journalism
 
mh, mbona siwaoni hapa wale wapiga debe kina MOTOCHINI Masunga Maziku na kundi lao? MK254 akisema mko motivated na chuki mnamwona wa hovyo... sasa mmeshindwa kutoa hata hongera kwenye swala zito kama hili? jameni mh? anyway HONGERA ndugu zetu wakenya kwa kukabilia kufanikisha project kubwa kama hii!
 
Wakati tuna zindua Daraja la kigamboni hao VILAZA wali beza

Tumezindua BRT pia walitubeza
Nani awape hongera kwanza kwalipi!?
Km50!!?
Hehehe hapa nimwendo WA kukimbizana
 
ona sasa... hapa tunaongelea Reli mkuu! kama daraja lako halikuandikwa basi siungeandika yako tu? au wakenya walikukataza usiandike kitu kuhusiana na hilo daraja? Toa HONGERA mkuu kwa jirani, ah!
 
Umeanza nawewe
Nakuambia Tuliandika sisi
Lakini wao waka beza
Hawa kuona lamaana
Mimi ndio nione lamaana
Reli ywnyewe fupi yakutembea kwa miguu
 
Back
Top Bottom