Kenyans writing PHD thesis for British Students

Kama hakuna mtanzania ana haja na wakenya then why are you here trolling us? Hayo ni maneno ya kujifariji ila ukweli itabaki pale pale
Tunawapa faida muache kujisifu kwa vitu msiokua navyo ndio maana kigamboni bridge muliwadanganya wakenya wenzenu iko nakuruπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
6E0C1C80-1C05-4600-A4B3-D0442D36699E.jpeg
 
"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
heheee...vyenye ni neno lakkiswahili baba...tatizo lenu mnataka mtu aandike vyenye watanzania huandika au kuongea ..kiswahili mlikiskia...wenyewe wako mombasa na zanzibar...dar kilifanya kuja tu...au unabisha
 
"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe hta kiswahili hukijui...hujui maana ya vyenye...juzi tu humu mlikuwa hamjui maana ya neno makinika......

kiswahili si cha watanzania...kina wenyewe...
eti kisha wajifurahisha ukisema nina kiswahili kibovu...
wewe km ni pimbi utakosolewa tu...leo yani nimecheka sana...yani eti mtu kujuwa kiswahili ni mpka aongea km watu wa dar....aisee...sijui mwarimu,karamu,,kura,kurara,kurima,luto,uhulu,laila,karonzo...
km kujua kiswahili ni kuongea hvi...tosha...bora nikomae na kimvita tu..au ki amu,kigunya na kibajuni
 
duh...naona umempa za uso..kisha hko kwao wanaofanyika huo ujinga ..ni watu wenye ngazi za juu serekalini...za kenya sana sana hutumiwa kw battle za tweeter...lkn hawa mpka wabunge...du
 
Mashudu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh...naona umempa za uso..kisha hko kwao wanaofanyika huo ujinga ..ni watu wenye ngazi za juu serekalini...za kenya sana sana hutumiwa kw battle za tweeter...lkn hawa mpka wabunge...du
Nani mbunge hebu niletee mbunge wa tanzania aliefanya hvo leta jina
 
ichoboy...naona yule aliyetumia picha za sgr ya kenya kusema ni ya tz alikuwa chokoraa flani wa tandale..wala hana cheo chochote kile serekalini...
ni jokes tu ndio ilkuwa anafanya
 
Subiri mujionee the modern electric railway in africa subirini tu musiwe na pupaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† muna wasiwasi na tanzania sijui kwann
 
These are the reasons I usually tell you that you need to go to rehab, so you want me to compete posting these shit with you? I can't bent that low.

Sent using Jamii Forums mobile app
ichoboy...naona yule aliyetumia picha za sgr ya kenya kusema ni ya tz alikuwa chokoraa flani wa tandale..wala hana cheo chochote kile serekalini...
ni jokes tu ndio ilkuwa anafanya
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ alaf munakuja kukinga kifua hapa

Similar Discussions

Back
Top Bottom