Kenyan Bloggers beware! Askari wa Mtandao wa Kijamii

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,226
Mheshimiwa Rais, kinachopita mbele yako ni kikosi cha Askari wa Mtandao wa Kijamii ambao wamegadhabishwa na uongozi wako duni. Lengo lao mheshimiwa Rais ni kutekeleza mashambulizi kali kama utaendelea kugandamiza haki za wakenya.

10362621_385937998235915_663511120045469837_n.jpg
 
Meanwhile from the other side...

Convince me if these guys are not the same person posting this #PressPass from statehouse using many twitter handles. The idea is to advance the narrative that security is individual responsibility

10363373_712765538800660_8130794641796421196_n.jpg10540964_10202721358338356_1485266470919246054_n.jpg
 
lawmaina78

Sikia mkuu humu kila mtu ana utambuzi wake hasa upande wa mwelekeo ndio maana kuna kumwita mtu pindi uonapo jambo fulani lina mhusu, huyu mtu kasha jitambulisha kua uonapo post inayo husu Rwanda mtamtafuta jamaa, na pindi majadiliano yakiendelea bila huyu utaona watu wakimtaja taja kua mbona kimya. Mfano wewe sidhan ikitokea post ina ihusu Kenya na ikawa na mjadala mkubwa watu hawaja kuona wataridhika nilazima wakutoe ulipo uje. Hivyo jamaa hapo unamwonea bwana.
 
Last edited by a moderator:
Sikia mkuu hum kila mtu ana utambuz wake hasa upande wa mwelekeo ndio maana kuna kumwita mtu pindi uonapo jambo fulani lina muhusu, huyumtu kasha jitambulisha kua uonapo post inayo husu Rwanda mtamtafuta jamaa, na pind majadiliano yakiendelea bila huyu utaona watu wakimtaja taja kua mbona kimya. Mfano ww sidhan ikitokea post ina ihusu Kenya na ikawa na mjadala mkubwa watu hawaja kuona wataridhika nilazima wakutoe ulipo uje. Hivyo jamaa hapo unamwonea bwana

Wala sina ugomvi naye, na simuonei, ninachosema huwa hakawii kuburuta Rwanda kwa kila mada hata kwa zile hazihusiani. Anyway, it's a great community of thinkers across EAC tuendelee ku-engage kwa kila topic.
 
lawmaina78

Hazihusiani kivipi? mtu pekee ambaye haoni nilichopost kuwa kinahusiana ni wewe raia wa kenya mwenye asili ya kitutsi baas! Post inaumbua serikali ya kenya inafanya trolling, mimi nimeleta link inaoonyesha same thing kwa serikali ya Rwanda, hapo huoni connection kivipi?
 
Last edited by a moderator:
hazihusiani kivipi? mtu pekee ambaye haoni nilichopost kuwa kinahusiana ni wewe raia wa kenya mwenye asili ya kitutsi baas!
Da wacha kumchokoza mtaniwetu hawana mpaka mmoja na Rwanda, labda tumpe pole kuhusu sheria yao hiyo Maana ataishi Kenya kama yupo Rwanda
 
TEAM BABA'S DEFENCE RESPONSE TO PSCU!


PSCU IS A PROPAGANDA MACHINE THAT KENYANS MUST IGNOREWe refuse to be engaged in red herrings among other distractions from the
statehouse based propaganda squad. Kenyans are not fools. Kenyans are not
warthogs. Kenyans still remember two unimaginable incidences of security failure in this country that ought to have sent the entire security apparatus home.

First, Kenyans still remember that Williams Ruto's spokesman David Mugonyi was abducted right behind President Uhuru's house at statehouse.

Second, Kenyans still remembers how a President Uhuru Kenyatta's own Presidential Escort Limousine car was stolen in a Ruai brothel and recovered 800kms plus from Nairobi despite the highly over prices Chinese communications systems installed in the car.

These two incidences can only mean serious negligence of duty & lack of
discipline and professionalism within the current Facebook leadership.

We therefore encourage Itumbi & fellow mockingbirds at PSCU to go to school so that when they lie, they exhibit a bit of intellectual rigor. So far so good, they have failed even to convince themselves.

When NIS reported PSCU nominee Denis Itumbi to be an academic pirate, Director of Public Prosecution did not prosecute him neither did Public Service Commission boss Prof Margaret Kobia asked for his dismissal. NIS is on record saying that their advice has always been ignored. This is one such instance that is hurting the image of the Presidency, not only locally, but globally. Truth be told, PSCU is not a professional outfit but more of a Primary School Circus Unit.

However, may we bring to the attention of the PSCU, that even lying needs ounce of intellect, for example, in Westgate we know the NIS informed he police on time, why they never acted is something we can best ask the President since the Buck stops with the president. Was this failure to act deliberate or it was to have an echo in ICC?

We thus encourage these mockingbirds at the PSCU to be abit convincing, even Gadaffi's spokesman was a bit convincing. If anything, the Nation comes first and the bible is still right "no man can lie on bread alone", let them a bit wise even in their high seas of diffusing ignorance.

We can only encourage the jubilee government to get out of FACEBOOK and start delivering on their promises which included milk for children where ironically, Uhuru Kenyatta's firm is the biggest supplier in the entire North of Limpopo.

They should provide laptops to school going children's; the parents are tired of children asking for laptops every beginning of the year. They should secure Kenya and include all Kenyans in the security decisions of the country. Kenyans want service. Not Facebook updates.

The Secretariat,
‪#‎TeamBaba‬ Online Force
 
Da wacha kumchokoza mtaniwetu hawana mpaka mmoja na Rwanda, labda tumpe pole kuhusu sheria yao hiyo Maana ataishi Kenya kama yupo Rwanda

Hehehe!! muache huyo, tumetoka naye mbali.... hii sheria mpya naiunga mkono kiaina ila kuna mambo wakipitisha itakua tumerudi nyuma na kuishi kama nyie Wabongo. Usalama wa taifa kwenu huwa na nguvu za kuwashika raia ilihali kwetu hiyo tulitoa zamani, wa kwetu kazi huwa ni kuwapasha polisi na taarifa.
 
lawmaina78 last time i checked,you were bragging about your new constitution as being one of the best in africa for protecting civil right,freedom of expression and blablabla....kwa hiyo bill mnayotaka kuipitisha,nina wasiwasi itabidi uwe makini sana utakapo kuwa unatoa comments zako online.mnarudishwa enzi ya mzee moi.hiyo katiba yenyu itakuwa bure kabisa.
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78
Acha uwongo.usalama wa taifa yupi anashika raia? toa ushahidi.
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hiyo ya# teambaba yaani wamemchana huyo itumbi vizuri mno.
Uongo mwingi ukweli kidogo haya sasa kimenuka huko bungeni.
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78
Wewe wacha minasikitika hutaweza kutuletea photo hum za waathirika wa lolote lihusianalo na ugaid wala kuwa huru kulizungu mzia kiundani kwa kuogopa, watu watakua hawaruhusiwi kuweka wazi kila kilicho tokea, Tanzania tunauhuru wa kupost picha sana hatuja fika huko na kikubwa napo hisia jambo ni haraka sana kuwasirisha wenzetu twaita UNOKO/KUNOKOA,Nakutojua nani KANOKOA.
 
Last edited by a moderator:
kadoda11 Visa vya usalama wa taifa wenu kushika wananchi sio chache, angalia mfano mmoja tu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lisi-wa-usalama-waomba-rushwa-wakataliwa.html
ndiko wanataka kuturidisha hawa wapuzi, hii sijaipenda na hakika Uhuru atapoteza maksi nyingi sana kwa hili. Tuliumia sana ili kuiboresha katiba.

Mh mbona hapo safi, kama unavyo tambua madawa yamekua kero kwa watz nje, kibaya kipi mtu kukamatwa? ndio tunataka kuwa huru fanya lolote kwa uhuru ispokua kuvunja sheria za nchi ktk uhuru wako usivuke mipaka
 
Last edited by a moderator:
lawmaina78

Umeleta porojo isiyo na chanzo chochote cha uhakika.hiyo ni habari ya mwana JF akieleza alicho kiona airport.nataka ulete ushahidi unao onyesha TISS wana kamata raia.listen my friend,this is bongoland and not kenya where your city council police(kanju) have the power to arrest anyone in city of nairobi and ask for bribe.

Huku kwetu TZ askari wa jiji hana mamalaka ya kukamata raia isipokuwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machingas) wanaofanya biashara maeneo yasiyoruhusiwa.
 
Last edited by a moderator:
umeleta porojo isiyo na chanzo chochote cha uhakika.hiyo ni habari ya mwana JF akieleza alicho kiona airport.nataka ulete ushahidi unao onyesha TISS wana kamata raia.listen my friend,this is bongoland and not kenya where your city council police(kanju) have the power to arrest anyone in city of nairobi and ask for bribe.

huku kwetu tz askari wa jiji hana mamalaka ya kukamata raia isipokuwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machingas) wanaofanya biashara maeneo yasiyo ruhusiwa.

umeleta porojo isiyo na chanzo chochote cha uhakika.hiyo ni habari ya mwana JF akieleza alicho kiona airport.nataka ulete ushahidi unao onyesha TISS wana kamata raia.lesten my friend,this is bongoland and not kenya where your city councel police(kanju) have the power to arrest anyone in city of nairobi and ask for bribe.

huku kwetu tz askari wa jiji hana mamalaka ya kukamata raia isipokuwa wafanyabiashara wadogo wadogo (machingas) wanaofanya biashara maeneo yasiyo ruhusiwa.

Naona umeyasahau sana ya Kenya wewe, kanju wapo kazi kuwashika wanaovunja sheria za baraza la mji, kutema mate ovyo, kukojoa kila mahali, machinga n.k. lakini hawafanyi kazi ya polisi.

Aha! usinikumbushe ya Dar, nikiwa pale stendi za mikoani Ubungo asubuhi mapema nikiwa tayari kusafiri kwenda Arusha. Nilitafuta choo kote maana nilikua nimebanwa hadi nikaamua kumalizia sehemu pembeni, hapo ghafla wakaniibukia jamaa wanajiita wanamgambo, mengine ni historia.

As for jamaa wenu wa usalama wa taifa, wacha tuachie hapo usiniburuze maana kuna wengi wamo hata huku JF na wanafuata sana yanayosemwa.
 
lawmaina78

MKUU KENYA,TANZANIA mtu akienda tofaut na sheria husika kukamatwa ni wajibu iwe mgambo,polisi hata raia ndo vyema. mfano umemwona mtu akikuvunjia nyumba na kuiba utamsubiri mpaka police afike ndo amkamate?

Wapi, umeambiwa usikojoe hapa nawe unakojoa unategemea polisi kilamtaa wawepo, hata wewe waweza mkamata.
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI

Hehehe!! basi ngoma ndio hiyo, namfahamisha mwenzio hata askari wa jiji wa Bongo wana uwezo wa kumshika raia anayevunja sheria.

Walinishika kwa kuvunja sheria, ila baadaye niliambiwa huo ndo mchezo huchezwa hapo Ubungo, wanahakikisha hakuna choo kimefunguliwa halafu wanajificha ili kuwavizia wasafiri watakaobanwa na kuamua liwalo na liwe, ilikua gizani na kuna kichaka pembeni.
 
Last edited by a moderator:
MOTOCHINI

Hehehe!! basi ngoma ndio hiyo, namfahamisha mwenzio hata askari wa jiji wa Bongo wana uwezo wa kumshika raia anayevunja sheria.

Walinishika kwa kuvunja sheria, ila baadaye niliambiwa huo ndo mchezo huchezwa hapo Ubungo, wanahakikisha hakuna choo kimefunguliwa halafu wanajificha ili kuwavizia wasafiri watakaobanwa na kuamua liwalo na liwe, ilikua gizani na kuna kichaka pembeni.
MK254 njoo hapa sijakusoma yalini hii nimeshindwa kuelewa ume edit, nakumbuka niyalong kidogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom