Kenya yaunga mkono vikosi vya ECOWAS

Kenya yaunga mkono vikosi vya ECOWAS

Ngoja tusubiri wa magogoni atasemaje .
Sheria zetu haziruhusu kuingilia mambo ya ndani ya nchi zingine isipokuwa pale nchi husika inapotoa mwaliko wa kusaidiwa au pale inapohitajika kupeleka majeshi yake katika nchi husika kwa mujibu wa Chapter six au chapter seven ya UN charter.
 
Hii sera ya kutokuingilia mambo ya ndani ya taifa jingine tuliicopy toka kwa warusi na wachina sera hizi ndizo zilikuwa ni nguzo katika kueneza ukomunisti. Sera za uchina ndivyo zilivyo.
 
mkuu,nilikua namaanisha kuhusu pongezi tuu.maana hata ile mara ya kwanza kabla jemmey hajabadili mawazo sikusikia pongezi kutoka magogoni kama ilivyo kawaida.
 
Hii sera ya kutokuingilia mambo ya ndani ya taifa jingine tuliicopy toka kwa warusi na wachina sera hizi ndizo zilikuwa ni nguzo katika kueneza ukomunisti. Sera za uchina ndivyo zilivyo.

Tunatakiwa tuwe na Sera za Tanzania sio Uchina.
Kuunga Mkono sioni kama kuna tatizo maana hata Nyerere alikuwa na Misimamo iliyokuwa wazi kama kuitambua Sahara Magharibi na Biafra.
Hili swala la Gambia,AU imeshatoa msimamo,Je,tunapingana nao?
 
Kenya imesema inaunga Mkono uamuzi wa Jumuia ya Afrika Magharibi(ECOWAS) ya kumfurusha Bw.Yahya Jammey ambaye amegeuka kuwa Muasi na kukatalia Ikulu wakati yeye sio Rais kuanzia Jana.Hayo yametamkwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bi.Amina Mohamed.
Hata hivyo Majeshi ya ECOWAS yameshaingia Mjini Banjul baada ya Rais Mteule Bw.Barrow kuomba msaada wa kumtoa Bw.Jammey.
Kwa sasa Bw.Jammey ameomba kusamehewa Makosa yote aliyokosa kipindi akiwa Rais na kuomba aruhusiwe kuishi kijijini kwao.Rais mteule kakataa hilo ombi na kusema lazima ajibu Tuhuma za Makosa yote aliyowatendea Wagambia.

My Note.
Kenya imeonyesha mfano mzuri wa kuheshimu Matakwa ya wananchi.
Kuna haja ya mataifa mengine ya kusini mwa jangwa la sahara kuiga mfano huo.

Katika EA, Uhuru ndiye at least ni democratic, anaheshimu utawala bora, angalau
 
Natumaini Kenya wataongoza vikosi vya EAC 2020 Ku restore democracy in the South
 
Back
Top Bottom