Haya ni mawazo ya mtu aliyekata tamaa na serikali yake, itakuwa ni kichekesho kwa mtanzania kuisifia serikali kwa sababu Fast Jet imenunua ndege mpya, hiyo ni sawa huko Kenya, ila sisi hatuzihesabu ndege za fast jet kuwa ni juhudi za serikali, kama ninyi mnaona Hospitali ya Karen kununua PET scan basi mnasifia nchi yenu imetimiza wajibu wake kwa wananchi, basi hongereni sanaHehehe sasa nijibu kitu gani, angalia siku zote tukileta habari nzuri kuhusu Kenya lazima Watanzania wajibu kwa kauli za na sisi tutafaya, tutajenga, tutakua na kama hiyo, subiri hata sisi tutafanya. Sasa na sisi Kenya tukiatangaza vitu tulivyopanga kufanya, situtajaza server za JF bure.
Hivyo, ndio maana unaona kauli nyingi huwa nazipita kimya maana hii JF tumeijaza mada za kihivyo tangu zamani, hamna haja ya kupoteza muda, hivyo naleta habari nzuri, Watanzania wanatiririka na hayo yao ya 'tuta', nawaacha wapate raha zao, ile kitu tunaita feel good.....kama kujipiga punyeto.
Hapa ni vitu vilivyomo, juzi rais Uhuru amesafiri kwenda Mombasa kwa kutumia SGR, wengi hata tumeshachoka nayo, sio habari tena, lakini Watanzania bado wanaimba tutajenga SGR. Yaani vitu ambavyo tulishachoka navyo huku ndio bado mpo kwenye utafiti yakinifu, sijui kama ile fly over huwa mnaishangaa shangaa ya TAZARA imekamilika? Sisi huku fly overs ni nyingi mpaka basi.
wana ldc ni povu tu hapa, wakamuulize tundu lisu amelazwa Aga khan university hospital Nairobi kwanini, namba mtaendelea kuisoma.
Wewe hua unanishangaza sana. Unachukia Kenya lakini maajabu ni kwamba unajua mengi kuhusu Kenya. Unajua Nairobi hospital na Karen ilhali mimi najua muhimbili pekee. Kama Kenya ni mbaya sana basi mbona unapoteza muda wako kufuatilia mambo yetu? Mimi humu JF huwa naingia Kenya section pekee kupata habari na kutoka. Sijishughulishi na mapenzi section au gossip section. Wewe pia ukiingia JF jikite kwenye Tanzania section kama unaipenda nchi yako sana. Wacha sisi Wakenya na Watanzania wangwana tubaki tukijadiliana bila machungu au kero lolote. Mimi napenda T.Z na nitazidi kuipenda tu kama nchi jirani. Wewe endelea kuchukia Kenya. Sisi tutazidi kutesa tu. Tangu lini kelele za chura zikamzuia ng'ombe kunywa maji mtoni?Ndiyo hiyo mkuu, yaani public Hospitals za Tanzania, zipo level moja na Karen and Nairobi Hospitals kwa vifaa vya kisasa, serikali ya Kenya haishughuliki kabisa kuzinunulia vifaa hospitali zake, Kenya haiwajali sana wananchi masikini
Lengo la hii mitandao ni kuwezesha watu kupata habari na kujifunza mambo mbalimbali yanayotokea duniani, kama wewe hutaki kujua mambo ya nchi zingine umebaki kujifungia Kenya, hilo ni chaguo lako na wala huna haki ya kutaka kujua au kumzuia mtu mwengine kufuatilia na kujua mambo ya Kenya.Wewe hua unanishangaza sana. Unachukia Kenya lakini maajabu ni kwamba unajua mengi kuhusu Kenya. Unajua Nairobi hospital na Karen ilhali mimi najua muhimbili pekee. Kama Kenya ni mbaya sana basi mbona unapoteza muda wako kufuatilia mambo yetu? Mimi humu JF huwa naingia Kenya section pekee kupata habari na kutoka. Sijishughulishi na mapenzi section au gossip section. Wewe pia ukiingia JF jikite kwenye Tanzania section kama unaipenda nchi yako sana. Wacha sisi Wakenya na Watanzania wangwana tubaki tukijadiliana bila machungu au kero lolote. Mimi napenda T.Z na nitazidi kuipenda tu kama nchi jirani. Wewe endelea kuchukia Kenya. Sisi tutazidi kutesa tu. Tangu lini kelele za chura zikamzuia ng'ombe kunywa maji mtoni?
Kuna saa nawaonea donge Wakenya. Hongereni.
ANAjenga si AMEjenga.Huyo aga khan anajenga hii kitu Tanzania, tusemeje
1B $ Aga Khan East Africa University
Kabaraak University $500m Teaching Hospital -Itakuwa the first mission referral hospital in KenyaHuyo aga khan anajenga hii kitu Tanzania, tusemeje
1B $ Aga Khan East Africa University
Hizo ni wishes, ingependeza kama ingekuwa hivyo, lakini kiukweli ni kwamba hii Hospitali ya Machakosi is well equiped kuliko hata Kenyatta Hospita ambayo ipo chini ya serikali kuu, Machakosi and Thika ndizo Hospital zenye hali nzuri huko Kenya, zingine zilizobaki ikiwemo Kenyatta Hospital hali ni mbaya sanaMachakos Level 5 referral hospital -- Machakos hospital is one of the few county government hospitals that has been fully equipped with all the 95 different equipment types under the national medical equipment scheme
chemotherapy roof
kumbuka hizi ni hospitali za County, kuna county 47, kila county inafaa iwe na angalau hospitali mbili au ikishindwa kabisa iwe na hospitali moja level kama hii na ipewe equipments zote hizo ili iwe hakuna haja ya kusafiri kwenda miji mikuu kupata matibabu spesheli, lengo la serekali ni mwishowe iwe kila aina ya matibabu yanapatikana town iliyo karibu nawe ndani ya county yako
Hizo ni wishes, ingependeza kama ingekuwa hivyo, lakini kiukweli ni kwamba hii Hospitali ya Machakosi is well equiped kuliko hata Kenyatta Hospita ambayo ipo chini ya serikali kuu, Machakosi and Thika ndizo Hospital zenye hali nzuri huko Kenya, zingine zilizobaki ikiwemo Kenyatta Hospital hali ni mbaya sanaMachakos Level 5 referral hospital -- Machakos hospital is one of the few county government hospitals that has been fully equipped with all the 95 different equipment types under the national medical equipment scheme
chemotherapy roof
kumbuka hizi ni hospitali za County, kuna county 47, kila county inafaa iwe na angalau hospitali mbili au ikishindwa kabisa iwe na hospitali moja level kama hii na ipewe equipments zote hizo ili iwe hakuna haja ya kusafiri kwenda miji mikuu kupata matibabu spesheli, lengo la serekali ni mwishowe iwe kila aina ya matibabu yanapatikana town iliyo karibu nawe ndani ya county yako
Wishes gani hizo unazoongelea, kila county inakimbia kujenga hospitali ya umma au ku upgrade iliyopo ili iwe na uwezo wa level 5 ISO certified..Hizo ni wishes, ingependeza kama ingekuwa hivyo, lakini kiukweli ni kwamba hii Hospitali ya Machakosi is well equiped kuliko hata Kenyatta Hospita ambayo ipo chini ya serikali kuu, Machakosi and Thika ndizo Hospital zenye hali nzuri huko Kenya, zingine zilizobaki ikiwemo Kenyatta Hospital hali ni mbaya sana