Kuna technologia ya google inaitwa 'reverse image search' just copy the image-link and paste it there itakuonyesha hio picha ilitoka wapi, fanya hivyo kwa picha zote alafu uniambie kama kuna picha hata moja ambayo si ya public hospital ya KenyaMkuu ninathani katika maisha yako ulishawahi kuandika academic paper yoyote ile na ukawa unatumia references mbalimbali, picha pekee bila supportive text kuonyesha kwamba hiyo picha kweli ni yako au ni mali ya huyo unayemtaja, haiwezi kuwa ushahidi wa unalosema, kwamfano, hapo kuna maandishi yanayothibitisha kwamba Machakos hospital kweli wana MRI machine, lakini hakuna ushahidi wowote kwamba Kilifi kuna MRI, au Gatundu Hospital, nitashukuru kama utanipa link ya kuniwezesha kujua kama huko kweli hizi machine zipo.
Kama nilivyosema Machakos, Thika na Gatundu ni Hospital mpya ambazo zina vifaa vya kutosha, hoja ilikuwa kwamba Hospital za county zote 47 kuweza kufungiwa vifaa kama hivi, nilionyesha wasiwasi wangu, uliposema kwamba tayari vimenunuliwa vifaa vya Hospitals zote 47, nikaomba ushahidi kuonyesha kwamba vifaa vyote vimeshanunuliwa, bado ninasisitiza ushahidi kuonyesha kwamba serikali ya Kenya iliyoshindwa kuinunulia vifaa vya kisasa Kenyatta Hospital, kama kweli ina uwezo wa kununua vifaa vya kisasa kwa Hospitals 47 za counties once
Hiyo ulipaswa ufanye wewe, huo ni ushahidi wako kuthibitisha unachokisema, sio jukumu langu kukutayarishia supporting documents zakoKuna technologia ya google inaitwa 'reverse image search' just copy the image-link and paste it there itakuonyesha hio picha ilitoka wapi, fanya hivyo kwa picha zote alafu uniambie kama kuna picha hata moja ambayo si ya public hospital ya Kenya
Ndiyo hiyo mkuu, yaani public Hospitals za Tanzania, zipo level moja na Karen and Nairobi Hospitals kwa vifaa vya kisasa, serikali ya Kenya haishughuliki kabisa kuzinunulia vifaa hospitali zake, Kenya haiwajali sana wananchi masikini
Mimi nilishaleta proof yangu, kila mtu amekubali, wewe ndo umekataa kushindwa, ni jukumu lako kukagua proof yangu na kuonyesha wapi nimedanganya. Hauna la kusema ,asiyekubali kushinndwa.......,Afadhali ukubali kushindwa au unyamaze tu, unavyozidi kucomment kihivi unajishusha hadhi mwenyewe, next time watu watakua wanakudharau utabaki kuitwa 'internet troll'Hiyo ulipaswa ufanye wewe, huo ni ushahidi wako kuthibitisha unachokisema, sio jukumu langu kukutayarishia supporting documents zako
Kila mtu amekubali, thibitisha hao watu waliokubali ni akina nani, tuma majibu ya hao watu waliokubali(non Kenyans), mimi nimeomba proof inayoonyesha kwamba Kilifi Hospital inayo MRI machine, mimi ninapinga kwamba Kilifi Hospital haina MRI machine, prove me wrongMimi nilishaleta proof yangu, kila mtu amekubali, wewe ndo umekataa kushindwa, ni jukumu lako kukagua proof yangu na kuonyesha wapi nimedanganya
I know what I am talking, mention any procedures which have been performed there and not or can't be done at our public health health facilities.Do you even read these things before you post them my dear friend? This is beyond laughable.