The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 754
Napitia comments nacheeeeka huku nabugia zangu popcorn...raha kuzaliwa tz...jamni mbona kimya njooni mkomenti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
unazijua facts wewe?...Sio kazi yako kuwapangia wafunge lini; wanafunga kwa facts and figures!
Waulize wa KenyaMexico hamna Corona?
Wazo zuri sana hili, na ikiwezekana tupeleke majeshi kumng'oa Kenyatta.Naishauri serikali ipeleke polisi wakawatawanye hao polisi wa Kenya kwa mabomu ya machozi ili mipaka yote iwe wazi.
Au tumpe kesi ya uhujumu uchumiWazo zuri sana hili,na ikiwezekana tupeleke majeshi kumng'oa Kenyatta.
KENYA YAUFUNGA MPAKA WA HOROHORO-TANGA Kenya imeufunga mpaka wa Horohoro uliopo mkoani Tanga unaoitenganisha nchi hiyo na Tanzania. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Kenya kuufunga mpaka mwingine kati yake na Tanzania uliopo Namanga mkoani Arusha
We're not doomed and we haven't lost direction, our neighbors are doing so to attract western attention, they needed money and they got it. Yaani watu wanapika na kutengeneza mazingira ya kuwafanya western world kutoa pesa, na sisi hatukutaka hivyo, tungetaka tungejikosha kwa mtu mweupe ili na sisi tupate pesa.
Au vp bwanaSisi tunachapa kazi,
Donor country,
Tutaona kama hiyo corona itaisha Kenya. Wanaona wivu sisi tunapiga kazi, wao wanahangaika na lockdown ya ugonjwa ambao ni wa kusadikika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani umefungawa wewe?Watafungua wenyewe tu, it's a matter of time. Ili ujuwe tunategemeana, watalazimika kufungua wenyewe.
Kuna maana kubwa sana ya lockdown, Wewe hujui tu.Lock down sidhani kama ni suluhisho la kudumu katika kupambana na Covid-19. Nadhani pia dunia ilihamaki na nchi mbalimbali kupokea ama kuiga yanayofanyika nchi zingine na wao kufanya hivyo pia. Kwanza kabisa ilitakiwa kuufahamu huu ugonjwa kiundani ili kuja na mikakati sahihi ya kupambana nao. Jana tu tumesikia waziri mkuu wa uingereza akisema lock down sasa basi.
Maana pamoja na lock down idadi ya vifo huko uingereza bado tishio.
Hueleweki!Kwani umefungawa wewe?
Wamefunga wao na watafungua wao.
Ili tuone kuwa ninyi ni wababe mwenye kesho mkaufungue
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo huelewi, ati matter of time, kwani walikwambia watafunga milele?Hueleweki!
Sera za ccm ndio zimefanya tuwe na vifo 256+ vya koronaBangi mbaya sana, kwani ccm ndio Huwan ambako kulianzia corona?
Kenya yafunga mpaka wa Hororo- Tanga Kenya imeufunga mpaka wa Horohoro uliopo mkoani Tanga unaoitenganisha nchi hiyo na Tanzania. Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya Kenya kuufunga mpaka mwingine kati yake na Tanzania uliopo Namanga mkoani Arusha
KWA HIYO WEWE NA WALE VIJANA WOTE NAOWAONA SASA WAMEACHA KUVAA BARAKOA MKO LEVEL MOJA KUWA CORONA IMEISHA MAANA HAKUNA TENA MAAMBUKIZI WALA VIFO SIO? KUNA WATANZANIA WA AJABU SANA JAMANI. MUNGU SI ATHUMANI. NAISHIA HAPASisi tunachapa kazi,
Donor country,
Tutaona kama hiyo corona itaisha Kenya. Wanaona wivu sisi tunapiga kazi, wao wanahangaika na lockdown ya ugonjwa ambao ni wa kusadikika.
Sent using Jamii Forums mobile app