MissM4C
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,740
- 1,004
Kenya Jana imezindua Mpango WA Pre-exposure Prophylaxis (Pre-PEP), Ambapo vidonge maalumu vya kumeza kabla ya kulala na MTU mwenye UKIMWI(au usiye muaamini) ili ikukinge wewe kupata UKIMWI, vidonge hivi vitakuzuuia kupata UKIMWI. Na inakadiriwa efficiency yake ni up 90% in preventing u from HIV
Hii ni HATARI KUBWA KWA WAKENYA.....maana kupitia mpango juu watu watarelax na kuwafanya Wawe risk takers zaidi kisa tu wamemeza dawa hizi...hii ni set back wala si progress in Fighting HIV, This is going to encourage people to take risks na kupunguza Umakini.
Tofauti na Tz, ambapo dawa hizi hutolewa baada ya MTU kuhisi ameambukizwa(Post-Exposure Prophylaxis (PEP) na hutolewa ndani ya masaaa 48 kwa kuzingatia vigezo Fulani.
Zaidi, pia wamezindua vipimo vya kujipima UKIMWI majumbani, unajipima peke yako(hii Nayo ni matatizo, because kupima UKIMWI sio a single stage process, kinahitaji counselling before, ni mda sasa wa watu kuzimia majumbani kwa presha, na huenda hata kwa majibu ya uongo maana this needs a professional
Nasema, Kiherehere cha Kenya Kutaka kuonekana ni nchi ya pekee duniani kitawaponza watu wenu... Hii pre-EP ni Janga....
Time will tell.....