Kenya wanunua Treni Mpya ya kisasa

Kenya wanunua Treni Mpya ya kisasa

wenzetu wanafanya kweli huku kwetu sisi tumekalia porojo tu
 
Hizo hela walizonunulia treni ni za madini yetu,, hio ndo ile nchi inayoongoza kwa kuuza madini yanayochimbwa kwetu! Wao hawachimbi ila wanaongoza kuuza,,,, wizi na ujanja ujanja
 
Bora uishi kijanja janja kuliko kizezeta maana udhaifu ni viongozi tuliowapa mamlaka lakini wametufelisha
 
Hizo hela walizonunulia treni ni za madini yetu,, hio ndo ile nchi inayoongoza kwa kuuza madini yanayochimbwa kwetu! Wao hawachimbi ila wanaongoza kuuza,,,, wizi na ujanja ujanja

Kama vepee na nyie mkaibe tren SGR ipo pale Vingunguti
 
Na sie baba nanhii kasema atatununulia wacha tuuze kwanza mchanga ule
 
Back
Top Bottom