mgunda1990
Member
- Jul 19, 2012
- 73
- 4
hatimae wenze2 kenya baada ya mgomo wa walimu 3wks mfululizo malalamiko yao yatatuliwa,madai yao ilikua nkutaka nyongeza had kufkia 300%na serikal imeafik,tz hata hiyo 100 imeshndikana...bora 2hamie kenya..source bbc swahili