Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,380
KihaMlikuwa mnazungumza kwa kutumia lugha gani?
Ni swali tu...😁
Watuachie wawakilishi wetu wa ukweli.....waichukue Mavyura wa Jangwani (Yanga) timu isiyo na faida na nchi kimataifa. Hivi hatuwezi kufanya petition hawa viluilui kupelekwa/kuhamishiwa Kenya moja kwa moja?hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. yeye anajua mimi ni Black Americano. nikamuuliza kwa ast africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. akajibu bila aibu kuwa kwa wao Kenya wana team Inaitwa Simba Sports Club imetinga Robo Fainali Shirikisho... hiyo ndo team inayobeba East africa kwa kiasi kikubwa sana. nikamuuliza tena ni ya nchi gani. akaseama "nimekwambia inatokea hapa kenya ina wachezaji kama akina Onyango n.k" nikamwambia tu haya.
Watanzania ni kuwa makini sana Kenya hawachelewi kuichukua hii team na kuitangaza kama yao halafu sisi tukakosa mapato ya Utalii. msilale maana hali ninavyoiona kwa hawa jamaa kila kitu kizuri wanapenda kiwe chao.
Wapelekewe kabisa na ikiwezekana wapewe na nyongeza ya ihefu, mwijaku , babalevo na msemaji wa wanamziki watuachie 🇹🇿TANZANIA yetu tufanye kazihawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. yeye anajua mimi ni Black Americano. nikamuuliza kwa ast africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. akajibu bila aibu kuwa kwa wao Kenya wana team Inaitwa Simba Sports Club imetinga Robo Fainali Shirikisho... hiyo ndo team inayobeba East africa kwa kiasi kikubwa sana. nikamuuliza tena ni ya nchi gani. akaseama "nimekwambia inatokea hapa kenya ina wachezaji kama akina Onyango n.k" nikamwambia tu haya.
Watanzania ni kuwa makini sana Kenya hawachelewi kuichukua hii team na kuitangaza kama yao halafu sisi tukakosa mapato ya Utalii. msilale maana hali ninavyoiona kwa hawa jamaa kila kitu kizuri wanapenda kiwe chao.
Unaifahamu "Bangee"Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za east africa hakujua kama natokea tanzania. Yeye anajua mimi ni black americano.
Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa kwa wao kenya wana team inaitwa simba sports club imetinga robo fainali shirikisho... Hiyo ndo team inayobeba east africa kwa kiasi kikubwa sana. Nikamuuliza tena ni ya nchi gani. Akaseama "Nimekwambia inatokea hapa kenya ina wachezaji kama akina onyango n.K" nikamwambia tu haya.
Watanzania ni kuwa makini sana Kenya hawachelewi kuichukua hii team na kuitangaza kama yao halafu sisi tukakosa mapato ya Utalii. msilale maana hali ninavyoiona kwa hawa jamaa kila kitu kizuri wanapenda kiwe chao.
sasa wewe hata kiswahili tu hujui. kiingereza utaelewa kweli?Badili maelezo aya kwenda kwa kingereza tukuamini
Sijaona alipokosea, sema tu una inferiority complex. Simba ni fahari ya kila aipendaye duniani kote. Hata huu uzi haukuwa na sababu za kuuanzisha...Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa kwa wao kenya wana team inaitwa simba sports club imetinga robo fainali shirikisho... Hiyo ndo team inayobeba east africa kwa kiasi kikubwa sana. ..
sasa kama simba ni fahari ya kila aipendaye duniani kwa nini wewe umeumia watu kuanzisha uzi wa kuipenda simba? mi nadhani either hilo neno la inferiority complex hufahamu maana yake au umelisikia sasa unataka kila sehemu ulitumie... sometimes read between the lines.Sijaona alipokosea, sema tu una inferiority complex. Simba ni fahari ya kila aipendaye duniani kote. Hata huu uzi haukuwa na sababu za kuuanzisha
Google translateBadili maelezo aya kwenda kwa kingereza tukuamini
There's nothing to read between lines, it's vacant. Uzi ulioanzisha sio wa kuipenda Simba, bali kuzuia watu zaidi kuipenda Simba. Pengine mawasiliano yenu yalikuwa changamoto kwako, ila mimi naona watu waachiwe tu kujivunia Simbasasa kama simba ni fahari ya kila aipendaye duniani kwa nini wewe umeumia watu kuanzisha uzi wa kuipenda simba? mi nadhani either hilo neno la inferiority complex hufahamu maana yake au umelisikia sasa unataka kila sehemu ulitumie... sometimes read between the lines.
Sawa mkuusasa wewe hata kiswahili tu hujui. kiingereza utaelewa kweli?
aya = haya
kwenda = kuwa
Acha ujinga. Hata utani unauchukulia serious? Au akisema hivyo ndio kaihamishia Kenya? Mimi nilidhani ungefurahi kwa kuwa timu inapata attention badala yake unaleta utoto wa kulilia peremende hapa jukwaani.Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American.
Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa kwa wao Kenya wana team inaitwa simba Sports Club imetinga robo fainali shirikisho... Hiyo ndo team inayobeba East Africa kwa kiasi kikubwa sana. Nikamuuliza tena ni ya nchi gani. Akaseama "Nimekwambia inatokea hapa kenya ina wachezaji kama akina onyango n.K" nikamwambia tu haya.
Watanzania ni kuwa makini sana Kenya hawachelewi kuichukua hii team na kuitangaza kama yao halafu sisi tukakosa mapato ya Utalii. msilale maana hali ninavyoiona kwa hawa jamaa kila kitu kizuri wanapenda kiwe chao.
Hakuna Simba bila YangaWatuachie wawakilishi wetu wa ukweli.....waichukue Mavyura wa Jangwani (Yanga) timu isiyo na faida na nchi kimataifa. Hivi hatuwezi kufanya petition hawa viluilui kupelekwa/kuhamishiwa Kenya moja kwa moja?