Kenya, ujinga gani huu mnavaa?

Status
Not open for further replies.

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?

1440853.jpg
 
mitanzania mingine bana, kuchakura kila mahali ukitafuta kenya haulali...... nchi za commonwealth nyingi sana hutumia hio... Hata zimbabwe chini ya mugabe ambae anachukia wazungu, bado majaji wao huvaa hivyo,

Unafaa ujue laywers na judges hua ni watu wa tradition, wao hufwata tamaduni sanan sana......
Kenya si lazima uvae hio wigi, ni choice. huyo jaji ni wale old school, ni wale watu wa zamani na hivyo ndo anajua, hauwezi kumlazimisha avue.......

Hizi ndo standing policy
http://www.nation.co.ke/news/Kenya-...nd-dreadlocks/1056-1195142-12wn5yp/index.html
 
Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?

1440853.jpg
Yaani mshikaji hizo ni heshima za vyeo vya taaluma ya sheria. Ndio hadhi ya juu kabisa mkuu. Mashokolo mageni, uliza utaambiwa!!
 
Huyo jamaa anaonekana kama kinyago vile, hivi kwani ni lazima avae hilo takataka kichwani? Na Je, asipovaa hawezi kuwa Jaji?

1440853.jpg
We ni mjinga naturally ama huu ni mzaha?
sikumbuki ilikuwa ni mwaka upi mtanzania mmoja akielezewa kuhusu hili ila swali lake lilikuwa "Ni kwanini majaji wa Kenya wanavaa vazi kama taulo kichwani....."(the full question was funnier)
Hata waliomjibu si wakenya ila watanzania...hata huko huko Tz pia wana vazi tu kama hilo ila kwa kuwa umeona ni mkenya utaleta mharo wako wote hapa bila kufikiria.
 
Hakuna Mtanzania anayevaa huyo ujinga kichwani, na siyo Watanzania tu hata Wazungu wenyewe (commonwealth) ukiondoa Waingereza hawaivai hiyo takataka!
 
Uchafu wa kuiga wazungu
Kuna wakati tunajidharirisha pasipo kujua. Kuvaa nguo umeiga kwa wazungu lakini kwa ujinga tu waona kuwa Hugo judge ndiye pekee kaiga kwa wqzungu. Hata kutumia hiki unachotumia hapa kufikisha Ujumbe sio product ya wagogo.
JF inashishwa hadhi na fikra kama zako.
 
unajua hayo marinda pia ni kati ya hayo mavazi

sitemgr_photo_71609.jpg

utafikiri ni mayahudi flani
 
Lkn huwezi kulinganisha na hilo taulo alilovaa huyo Jaji wa Kenya, Duh!

sitemgr_photo_71609-jpg.470558

vs

1440853.jpg

Zote bado ni mavazi hio ya juu ni kofia tu, hamna tofauti...... ni vile unatafuta kisababu tu
Kenya si lazima uvae, jaji anavaa kwa hiari yake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom