Hata Mimi imenishangaza mno..Ni vizuri sana kwa ajili ya usalama wa ndani.
Kwa nini mnawatumia SAS na Sayeret Matkar ambazo ni military units kutrain police. Its like kuwaita SWAT waje kuwafundisha kufyatua rockets wakati wao ni police na rockets sio speciality yao.