Hivi nyinyi mnavyojipendekeza kwa wazungu hamjui namna gani mnaidhalilisha Afrika isitoshe hata wao wamewachoka ndio maana wakamtosa mgombea wenu wa WTO
Mkiamua kutia bidii mtatoka na kuacha kutia aibu, leo hii tunawazidi mara mbili kiuchumi, pia tunawazidi kielimu, kijeshi naa kila kitu, ilhali mna liinchi lote hilo wazembe tu....full mdebwedo

Siku zote mzembe huwa hawezi kuwa na chakula nyie na sisi nani wana njaa.
Jeshi gani ambalo mmetuzidi Ethiopia kila siku anawachapa .
Mlijaribu kutingisha kiberiti kuzuia watu wenu tulipojibu mapigo nani aliomba msamaha halafu unaandika yote hayo huku umewekewa lock down

Mnasababisha Afrika tunatukanwa sana, iwwje nchi una madini ya kumwaga, ardhi kubwa na kila aina ya raslimali ila upo maskini wa kutupwa na kuzidiwa na kainchi kadogo kama Kenya.