- Thread starter
- #41
Mimi niliyeweka hii post, nimeweka si kwa ajili ya kuleta malumbano yasiyo ya msingi wether kenya na njaa, au Raisi wa tanzania anatembeza bakuli. Aim yangu ni kuwa Changamoto Tanzania in Particular, kama Wa kenya wanaweza wa not Tanzania?
Ardhi kubwa na arable ipo Tanzania, Mifugo mingi ipo Tanzania, so kinacho shindikana nini? Lets take a challange and move forward.
Ardhi kubwa na arable ipo Tanzania, Mifugo mingi ipo Tanzania, so kinacho shindikana nini? Lets take a challange and move forward.