Kenya :The Les Wanyika.

Kenya :The Les Wanyika.

Sasa kama wanaongea mambo ya kuiga maroon commandoes wamewaiga vipi les wanyika na waliwatangulia kimuziki? wakianza muziki hata sidhani les wanyika kama kikundi walikuwa wamejitosa ulingoni, labda simba wanyika.
Ama hukumpata Habel kifoto akituangushia?

mkuu nazungumzia maroon commandos band ya kizazi kipya (2000-present) sio ile ya 70s.nimeshuhudia kwa macho yangu wakiimba (kunakili) nyimbo za les wanyika ktk maonyesho yao.hata hapa tz pia hilo hufanyanyika.
 
Back
Top Bottom