gustavolu
Senior Member
- Oct 31, 2016
- 199
- 391
Kwahiyo ww unataka mamba wafe na watoweke kisa kwa mahaba uliyonayo kwa hao nyumbu na pundamilia wako?Hizo hela wangezitumia kujengea madaraja kwenye mto mara ili wanyama wetu wasiliwe na mamba au kufa kwa maji itapendeza