Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,281
- 79,648
sasa wanafunga flights huku KQ ipo death bed?Kenya is a sort of US type --- tifu ikiisha kwa nchi moja anamwanzishia mwingine. Juzi mahindi yetu hayana sumu tena, leo Somalia kumenoga. ^Ukizoea kula nyama ya watu, huwezi kuacha^ ~ JKN
sasa wanafunga flights huku KQ ipo death bed?
Mahindi yameisha sumu kuvu?Lazima tufinye hawa Shabab m*kende kwa miezi mitatu ili wajue nani baba yao ukanda huu. Mpaka wakuje kuomba msamaha wakitembea kwa magoti ndio tutaconsider normalising relations.
Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?Somalia decided to mess with the wrong people, now we will deal with them.
Superpowers one side.Kenya is a sort of US type --- tifu ikiisha kwa nchi moja anamwanzishia mwingine. Juzi mahindi yetu hayana sumu tena, leo Somalia kumenoga. ^Ukizoea kula nyama ya watu, huwezi kuacha^ ~ JKN
KQ in death bed yet ulinuku matili ya DREAMLINER yaibiwa ilipotuwa JKA.sasa wanafunga flights huku KQ ipo death bed?
Ethiopia na Kenya ndio jirani zao pekee. Somaliland pia ni jirani ya Somalia kwa maana wamejitenga na Somalia. Kenya itafungua representative office in Somaliland hivi karibuni. Somalia ilianzisha vita wakati rais wa somaliland alipotembelea Kenya on an official state visit. Somalia lazima tuifunze adabu. Tulia uone jinsi mziki unavyochezwa.Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?
Somalia na Ethiopia hawaivi!Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?
By the way Ethiopia na Somalia wameshawahi kupigana vita moja kali sana kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Somalia ndiye aliyeanzisha choko ila Ethiopia ndio ilishinda vita. Usione Somalia kwamba ni watu wazuri sana. Wanapenda vita kutoka zamani. Somalia huwa wanataka kunyakua Northern frontier district ya Kenya na Ogaden region ya Ethiopia kwa kisingizio kwamba maeneo haya ni ya jamii ya wasomali. Kenya na Ethiopia zimesign defence agreement ya kusaidiana kupigana na Somalia ikiwa Somalia watajaribu kunyakua maeneo haya.Hiv Somalia hawanaga majirani Zaid ya Hawa Manyang'au?
Somalia wakiruhusu miraa kuingia kwao bado mtaendelea ku ban flights?By the way Ethiopia na Somalia wameshawahi kupigana vita moja kali sana kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Somalia ndiye aliyeanzisha choko ila Ethiopia ndio ilishinda vita. Usione Somalia kwamba ni watu wazuri sana. Wanapenda vita kutoka zamani. Somalia huwa wanataka kunyakua Northern frontier district ya Kenya na Ogaden region ya Ethiopia kwa kisingizio kwamba maeneo haya ni ya jamii ya wasomali. Kenya na Ethiopia zimesign defence agreement ya kusaidiana kupigana na Somalia ikiwa Somalia watajaribu kunyakua maeneo haya.
Kenya is a sort of US type --- tifu ikiisha kwa nchi moja anamwanzishia mwingine. Juzi mahindi yetu hayana sumu tena, leo Somalia kumenoga. ^Ukizoea kula nyama ya watu, huwezi kuacha^ ~ JKN
Ethiopia and Somalia war was a real battle compared to wanamgambo shenanigans.They hoodwinked museveni and obote not to claim theft that occurred during and after removal of amin dada.By the way Ethiopia na Somalia wameshawahi kupigana vita moja kali sana kuwahi kutokea Afrika Mashariki. Somalia ndiye aliyeanzisha choko ila Ethiopia ndio ilishinda vita. Usione Somalia kwamba ni watu wazuri sana. Wanapenda vita kutoka zamani. Somalia huwa wanataka kunyakua Northern frontier district ya Kenya na Ogaden region ya Ethiopia kwa kisingizio kwamba maeneo haya ni ya jamii ya wasomali. Kenya na Ethiopia zimesign defence agreement ya kusaidiana kupigana na Somalia ikiwa Somalia watajaribu kunyakua maeneo haya.