Dah!
Mambo mengine ni ya kuonea haya na kunyamaza tu kuyasemea!
Huyu naye unatuwekea hapa kama mfano wa kusikilizwa?
Ndiyo, Tanzania chini ya Samia na Genge la wahalifu wenzake hakuna namna ya kuitetea kwa uduni inaopitia sasa hivi.
Lakini kuleta taarifa za watu kama huyu kuwa mfano wa kuwakoga watu; utakuwa uzalendo wa huko umekukorea akilini kuzidi kiasi.
Mara hii umekwishasahau kabisa Nyayo ilivyowatia jambajamba?
Kweli kuna watu wanaazima hadi akili.