G gmail mkulima Senior Member Jun 11, 2017 186 114 Jun 18, 2017 #1 Wakuu habari ya saa hizi nimesoma gazeti la nation kenya kwamba chama upinzani kenya NASA kimeweka kituo cha kuhesabu kura hapa bongo na Germany. Hii imekaaje kwa badae uhusiano wetu na kenya utakuwaje badae kama uhuru atashida?
Wakuu habari ya saa hizi nimesoma gazeti la nation kenya kwamba chama upinzani kenya NASA kimeweka kituo cha kuhesabu kura hapa bongo na Germany. Hii imekaaje kwa badae uhusiano wetu na kenya utakuwaje badae kama uhuru atashida?
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,168 6,292 Jun 18, 2017 #4 Kigogo said: Wanajisumbua tu Click to expand... Ni mbinu nzuri, Ghana upinzani ulifanya hivyo wakapasua.
Kigogo said: Wanajisumbua tu Click to expand... Ni mbinu nzuri, Ghana upinzani ulifanya hivyo wakapasua.
redio JF-Expert Member Aug 27, 2016 5,139 11,508 Jun 18, 2017 #5 Kwaiyo iyo, tallying center ndio ita mtangaza mshindi uku Tanzania au Germany? sasa iyo tumehuru ya uchaguzi waliyo unda uko Kenya ina maana gani?
Kwaiyo iyo, tallying center ndio ita mtangaza mshindi uku Tanzania au Germany? sasa iyo tumehuru ya uchaguzi waliyo unda uko Kenya ina maana gani?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,707 71,003 Jun 18, 2017 #6 Tanzania sehemu gani mbona sijaiona labda wameweka kolomije
WAIKORU JF-Expert Member Dec 9, 2015 1,587 2,444 Jun 18, 2017 #7 Hiyo tallying center labda iko Chato.....