Kenya opposition and tallying center

gmail mkulima

Senior Member
Jun 11, 2017
186
114
Wakuu habari ya saa hizi nimesoma gazeti la nation kenya kwamba chama upinzani kenya NASA kimeweka kituo cha kuhesabu kura hapa bongo na Germany.
Hii imekaaje kwa badae uhusiano wetu na kenya utakuwaje badae kama uhuru atashida?
 
Kwaiyo iyo, tallying center ndio ita mtangaza mshindi uku Tanzania au Germany? sasa iyo tumehuru ya uchaguzi waliyo unda uko Kenya ina maana gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom