Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Hao watu wanaochanganya ni mother tongue zao ndio zinafanya wawe hivyo... Kwan hujawahi sikia watu wa kabila fulani wanachanganya matumizi ya herufi na herufi...mambo ndo yapo hivyo labda kama unataka ulete ligi...kujua ama kutokujua matumizi ya herufi hizo hakukufanyi ufike ama usifike chuo... Na mwisho kujua lugha ya kiswahili hakukupi garantii wewe kuijua lugha ya kiingereza.... Kuna mshikaji kiswahili anachanganya mambo ila kiingereza anaongea na native speaker na wanaelewana.
Kwani kenya hawana hizo mother tongue au hao wanaoongea vizuri na kuandika vizuri hawana mother rongue zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa "sizitaki mbichi" mkishindwa na Kiingereza kwa mlivyo wazembe mnaanza kukitukana eti ni cha mkoloni, lakini wajanja wa lugha tumejua umuhimu wake na tunakitumia pakubwa katika kukuza uchumi wa nchi na kujiendeleza kila mmoja kwenye nafasi yake.

Mnaopenda kukitukana, unakuta huko kwenu wenye hela wamewapeleka watoto wao wakapate elimu kwenye shule za kimataifa, huko wanafunzwa na kuongea Kiingereza, maskini ndio wanasotea kwenye shule za saint kayumba wakiambiwa wakomae na Kiswahili eti ndio uzalendo na wasijifunze lugha yoyote nyingine, ila ikija kwenye soko la ajira, tangazo linaandikwa kwamba moja wapo wa vigezo ni lazima uwe na uwezo wa "kuzungumza na kuandika kwa Kiingereza". Watu wa ze ze ze wanaishia kuambulia patupu.

Rais wetu leo hii anashusha deals kali kali za kimataifa, hii imetokana na umahiri wake kwenye kujieleza kwa hii lugha, inampa kujiamini.

Leo hii hata Wachina, Warusi wote wanahangaika kujifunza Kiingereza.

Binafsi napenda sana Kiswahili na huwa nipo kwenye mstari wa mbele kwenye kukipigia debe, ila siwezi nikaganda kwenye lugha moja kama zezeta.

======
Kenya rated second best in English fluency test

Kenyans are the second most fluent English speakers in Africa, according to a ranking by global private language tutor, Education First (EF), a ranking which primes the country to attract foreign investment.

The English Proficiency Index (EPI) by the Switzerland-based company ranks Kenya behind South Africa even though
Nairobi still emerged as the highest placed African city. Globally, Kenya was placed at position 18 while South Africa came in sixth, followed by Nigeria (29) and Ethiopia at 63. The Netherlands is ranked top in competency level.

English, considered the global lingua franca of business, has been adopted in the world as a bridging language to lower transaction costs across borders.

The EF report links English proficiency to innovation, public investment in research and development, number of researchers per a population of one million as well as technicians per capita. According to the firm, countries with higher ranks in English language skills experience higher labour productivity and stand a higher chance of economic growth compared to others, as language skills help economies to remain competitive by removing the communication barrier.

“Although there is evidence that the pace of globalisation is slowing, international trade is a significant portion of the world economy, with exports making up around 20 percent of the world’s economic output. We consistently find a correlation between ease of doing business and a country’s English proficiency, as well as speaking English and a range of logistics-related indicators,” the report says.

The growth projected from efficiency in the language has also been tied to the services sector where communication is essential and also holds the larger share of economic activities.

“iPhones can be shipped anywhere, accountants cannot,” the report notes. “Language use is tied to a country’s service exports as well as the value added per worker in services. As the complexity and sophistication of economic exchange increases, so does the demand for linguistic competencies. A growing number of MBA programmes demand fluency in English and a second, sometimes third, language”.

The mastery of English has also been used as one measure of the level of skilled workforce in a country, with EF saying it could increase employability.

Source: Business Daily
Ila we jamaa unajua kiswahili FASAHA kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi wanaopata degrees za university hadi uprofesa (sayansi, uchumi, nk) - jee, hawa nao waone aibu kwa kuwa tu elimu ni ya wakoloni?

rais wetu TZ amewapa nafasi nyeti serekalini Drs, Professors, etc - jee, naye ni mtumwa wa kiakili?
aisee hivi huko shuleni huwa mnajifunza ujinga/....hata hujui taratibu ya mtu kua proffesor watu wamupatia china,urusi,cuba kwani huwa wanangalia lugha au umahiri wa eneo fulani
 
We naona ulidandia mada tu, kaa pembeni utulie..
Ukwel ni kwamba, mnawadharau wanaoongea kikabila mjini...sasa tuwaiteje, manake nyerere kawapoteza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo unavyoshika ukikuyu wako hata unashindwa jichanganya na wenzio waona sifa...ngoja huko kibera mlete ethnic cleansing nyengine..tutakuja wapatanisha uchaguzi si ushakaribia
 
Kwhyo mtu umdharau sio kisa anapiga kisukuma ajabu?kweli nyinyi watumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
nenda kaongee huo upupu USA,RUSIA,CHINA na kajiulize kwanini KISWAHILI ndo kinazungumzwa na watu wengi zaidi Africa na hadi umoja wa mataifa kama watakuelewa mwehu we mkibira hebu nenda kale chang'aa..kwanza wamombasa mnajua shikishwa ukuta tu na wasomali hamna jipya
 
Ukoloni mamboleo. Afrika tunahitaji kwanza kabisa ukombozi wa kifikra.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
nenda kaongee huo upupu USA,RUSIA,CHINA na kajiulize kwanini KISWAHILI ndo kinazungumzwa na watu wengi zaidi Africa na hadi umoja wa mataifa kama watakuelewa mwehu we mkibira hebu nenda kale chang'aa..kwanza wamombasa mnajua shikishwa ukuta tu na wasomali hamna jipya
Wacha kudanganya watu hapa wewe, lugha inayotumiwa na watu wengi afrika ni kiarabu halafu ikifuatiwa na kingereza...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom