Kenya ndio ya pili Afrika kwenye umahiri katika lugha ya Kiingereza

Kenya wanaojua kiiengereza ni waachache kuliko wanaojua lugha za kikabila....

Hii ndio inapelekea kuwa msiwe na lugha ya taifa mpka leo... Na bado waja hapa kuleta majigambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu atajifunzaje lugha bila ya kukosolewa, wazungu tu hkosoana na hakuna anayemuita mwenzake mtumwa...eti kisa muingereza kamkosoa mtaliano basi hapo kunazuka gumzo na kejeli, never

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mbona nyie mtz akikosea lugha ambayo sio ya kwake yaani kiingereza mnamcheka,kama sio nyie ni malimbukeni ni nini??

Au bado mkoloni wenu anatawala fikra zenu?
 
Ur good at kiswanglish and not English. Hata waganda tu wanawapiga bao big time.

# Kenyan English = mastory mobb.

# hapo Mombasa watu hawajui English kabisaaa
 
Kenya bhana..Venye
IMG_20200208_030118.jpg
Mlitoa mgonjwa mkaweka maiti
 
Sema tu una shobo na kiswahili..
Tena mtumwa ni yule anayemdharau mwenzake kisa anaongea kilugha mjini.

Yani nyerere kawapotosha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikuuliza Nyerere ametuharibu kivipi utasema ni ile clip akisema "karne hii Tanzania mnaongea makabila" "mnapanda basi la makabila"

Wakenya wengi kama sio wote kwa ufinyu wao kwenye kiswahili hawajui mpaka leo kutafsiri hayo maneno ya Nyerere

Yaani ni sawa na mhadza kule msituni amsikilize Rais wa France kisha ajitutumue kutafsiri hicho kifaransa

Mwishoe kutokana na ulimbukeni wenu kwenye hiyo lugha mmebaki kujilisha tafsiri mfu juu ya hiyo kauli ya Nyerere na mlivyo punguani bila hata kutaka kujua maana kutoka kwa wenye maana, mmekua eti mkiwakosoa wenye maana kumbe mnajiaibisha tu.

Nikikuuliza Nyerere katuharibu kivipi una cha kunijibu?
 
Hawa huwa wamechanganykiwa, akiongea lugha yake ya asili wanamuita mshamba, akiongea Kingereza wanasema mtumwa, ila pia hata uandishi wao wa Kiswahili hutia kinyaa, itokee siku ufanye kazi na Mtz halafu ahitajike kuandika na kuwasilisha ripoti/taarifa kwa lugha ya Kiswahili, yaani utaishia kusoma aya mbili na kutupa nakala kulee......
Mkenya yupi anaweza kumsahisha mtanzania kiswahili? Bado hajazaliwa
 
Na wote uliowataja wapo mbele kiuchumi kulinganisha na Kenya, hapo ndio utagundua lugha ina mchango mdogo kwenye maendeleo, jaribu kufikiria Uhuru na kiingereza chake anaenda kupiga magoti China ili akopeshwe
Kiuhalisia jamii zote ambazo english sio Native language huwa wana pata shida kwasababu ya kujifunzia lugha ukubwani, unaweza kuona wachina, wajapan wahindi pia huwa wanateseka sana ukiwakuta wanahangaika kujifunza lugha ya malkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikikuuliza Nyerere ametuharibu kivipi utasema ni ile clip akisema "karne hii Tanzania mnaongea makabila" "mnapanda basi la makabila"

Wakenya wengi kama sio wote kwa ufinyu wao kwenye kiswahili hawajui mpaka leo kutafsiri hayo maneno ya Nyerere

Yaani ni sawa na mhadza kule msituni amsikilize Rais wa France kisha ajitutumue kutafsiri hicho kifaransa

Mwishoe kutokana na ulimbukeni wenu kwenye hiyo lugha mmebaki kujilisha tafsiri mfu juu ya hiyo kauli ya Nyerere na mlivyo punguani bila hata kutaka kujua maana kutoka kwa wenye maana, mmekua eti mkiwakosoa wenye maana kumbe mnajiaibisha tu.

Nikikuuliza Nyerere katuharibu kivipi una cha kunijibu?
Unahitaji kujiuliza wewe hilo swali, manake sio utimamu mtu kumdharau mwenzake kisa anaongea kilugha mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeaona "Peach" instead of "Peace" and "internal" instead of "eternal" !

the land of Queen juzi walikuwa-ranked second across Africa in English Proficiency!

That Ranking got rigged!

MK254 Kafrican n Teargass

Vilaza in their true color!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom