Kenya nao hawapo nyuma

Uzuri wake CHOO chake ni original silo cha kuchongwa na China!!
 
Nilishmuona live...ni mzuri lakini hayupo soft kama kwenye picha kakomaa.

Mada jingine ukiziona unaweza kataa kama ulizianzisha
Hahahha ww ulidhani yuko soft? mbona watu wengi hawako soft halafu huyu hajiedit sana ,kuna watu wanaedit mpaka anakua blurred aisee...

saa ingine tunadataga tunaanzisha mada baadae tunajutia
 
Hahahha ww ulidhani yuko soft? mbona watu wengi hawako soft halafu huyu hajiedit sana ,kuna watu wanaedit mpaka anakua blurred aisee...

saa ingine tunadataga tunaanzisha mada baadae tunajutia
Anyway avatar yako huwa nikiiona najuga wewe ustadhat flani....hata kukutania najishtukia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…