Kenya: Mwanamke aliekula hela ya nauli na kuzima simu ahukumiwa na mahakama

I like it!



Kuliko kuweka picha ya sa100 kwenye note bora hii sheria itungwe na ipitishwe ianze kazi mara moja.

Ajira hakuna kijana anajibana anabet akimpiga mhindi kidogo anaamua apoze machungu kwa kuifurahisha nafsi anatuma nauli dem nae anakula nauli haendi getto inauma basi tu!

Maisha magum afu mwingine anakula nauli sijui aliomba atumiwe ili ale na akija getto njaa mingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…