Kenya mmezidi sasa/ made in kenya.

Kenya mmezidi sasa/ made in kenya.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,561
Reaction score
48,908
Whatever happened to our dear KILI!! Nyie machalii ya kenyatta mmezidi arifu...embu mchill sasa
 

Attachments

  • made in kenya.jpg
    made in kenya.jpg
    56.1 KB · Views: 858
Hivi wewe hukumbuki kuwa twiga wetu alipanda ndege,
bora wao waendelee kufaidika na twiga wao.
 
mbona sielewi. Ramani ya Tanzania lakini "kenyan tea"!
 
Duh, kasheshe. Serikali indio imelala, name WAF any a bias hara wake
 
Serikali sikivu haijasikia.
 
Mrisho Mpoto mwenyewe kashawahi kuiwakilisha Kenya katika tamasha la ughani wa mashairi kwa lugha ya Kiswahili huko ng'ambo
 
Kenya hamna mpango wala nini,tangazeni cha kwenu.
Nalog off
 
Back
Top Bottom