Lewis254 JF-Expert Member Apr 3, 2017 6,341 3,295 Mar 27, 2020 #61 ibanezafrica said: Huku east afrika uganda kenya na ruanda wanakurupuka mno,hii ngoma si ya waafrika sijui huwa hawaangalii statistics? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Refer to what is happening in Italy, siku kikinuka, mutakufa kama kuku walioshikwa na kideri.
ibanezafrica said: Huku east afrika uganda kenya na ruanda wanakurupuka mno,hii ngoma si ya waafrika sijui huwa hawaangalii statistics? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Refer to what is happening in Italy, siku kikinuka, mutakufa kama kuku walioshikwa na kideri.
TEMLO DA VINCA JF-Expert Member Sep 1, 2013 3,054 3,312 Mar 27, 2020 #62 Kikiwo said: Mku tema mate !!!!!!! Hili li Corona ni janga lingine usitanie Click to expand... Unamtisha nani hiyo mnayoita corona watu tunaumwaga toka primary school, sio kitu kipya bongo nyie endeleeni kuiga mabwana zenu tuu wakati uchumi wenu mlishafirisika siku nyingi... Sent using Jamii Forums mobile app
Kikiwo said: Mku tema mate !!!!!!! Hili li Corona ni janga lingine usitanie Click to expand... Unamtisha nani hiyo mnayoita corona watu tunaumwaga toka primary school, sio kitu kipya bongo nyie endeleeni kuiga mabwana zenu tuu wakati uchumi wenu mlishafirisika siku nyingi... Sent using Jamii Forums mobile app
Lewis254 JF-Expert Member Apr 3, 2017 6,341 3,295 Mar 27, 2020 #63 Magonjwa Mtambuka said: Why? Click to expand... me no understand.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Aug 2, 2016 29,702 26,223 Mar 27, 2020 #64 Lewis254 said: me no understand. Click to expand... So what?
Lewis254 JF-Expert Member Apr 3, 2017 6,341 3,295 Mar 27, 2020 #65 Magonjwa Mtambuka said: So what? Click to expand... I like that song by P!nk.
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Aug 2, 2016 29,702 26,223 Mar 27, 2020 #66 Lewis254 said: I like that song by P!nk. Click to expand... Just continue, I won't deter you.
K kabombe JF-Expert Member Feb 11, 2011 26,152 18,738 Mar 30, 2020 #67 jd41 said: Inaonekana vifo vingi vya Corona vinawakumba wale ambao walikuwa na maradhi makubwa kabla, au wazee, hii inasababishwa na kinga za miili yao kuwa chini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio maana trump.anaogopa.sana huu ugonjwa
jd41 said: Inaonekana vifo vingi vya Corona vinawakumba wale ambao walikuwa na maradhi makubwa kabla, au wazee, hii inasababishwa na kinga za miili yao kuwa chini. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ndio maana trump.anaogopa.sana huu ugonjwa