Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Kuna msemo wa kiingereza unaosema what goes around comes around. Hivi karibuni serikali ya Tanzania kwa makusudi na kwa ubabe mkubwa, iliamua kupiga mnada ng'ombe wa Masai kutoka Kenya ambao walikuwa na desturi ya kutojali mpaka kati ya Tanzania na Kenya na kufuata malisho upande wa Tanzania.
Sasa katika uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Kenya imekamata dhahabu ya kilo 32 na thamani ya USD 1M (Tshs 2,000,000,000) ambayo abrira mmoja alikuwa anasafirisha toka Mwanza kwenda Dubai.
Nadhani wengi tunategemea kwamba Kenya watairudisha hiyo dhahabu Tanzania. Lakini swali ni kwamba, Kenya wakiamua kuitaifisha hiyo dhahabu, hasa wakikumbuka ubabe ambao uliofanywa na Tanzania huko nyuma dhidi yao, tutakuwa na sababu za kulalamika?
Nadhani hili ni funzo nzuri sana kwa uongozi wa Raisi Magufuli kwamba kuishi vema na jirani zako ni jambo muhimu sana. Unapowafanyia ubabe soon or later kutatokea jambo ambalo nao wanaweza kukufanyia ubabe. What goes around comes around.
Kuna pendekezo Kenya waichome moto na kuiharibu hiyo dhahabu kama tulivyochoma vifaranga!