G
Unafanyaje mkuu, yaani unakuwa na nini app au?.Kibongo bongo fee zinaumiza sana..
Mi toka nimeanza kutumia Selcom nimeacha kabisa kulipa cash, hawa jamaa wana bando la mwezi , unalipa 10500, miamala bure mwezi mzima!
Nimejikuta naokoa hela nyingi na hakuna tena usumbufu wa chenji!
Ni app mkuu, NIDA peke yake inahitajika kuregister..ukishakuwa na app unaweza omba physical card (mastercard), hii inatumika ATM zoteUnafanyaje mkuu, yaani unakuwa na nini app au?.
Huku tatizo makato bado makubwaKenya is quickly becoming a cashless society. From paying for a matatu ride to buying vegetables from mama mboga or even karanga from a street vendor, most payments are now done through M-Pesa
India hata mtu anaeuza mapera mtaani ana QR code yake unascan una Pay, Google pay pia Iko Kule Lakini pia service kama Tap to pay tayari ziko Kila Mahari huna haja ya kubeba cashNishameshangaa sana mama mboga,muuza karanga mtaani accepts mpesa payment. Future has come too soon bwana!
Selcom Hana mpinzaniNi app mkuu, NIDA peke yake inahitajika kuregister..ukishakuwa na app unaweza omba physical card (mastercard), hii inatumika ATM zote
kila nchi inautaratib wake wa kulipa kodi, kampun za mitandao kwa bongo wamewekewa kod kubwa.Safaricom Kenya na Vodacom Tanzania ni kampuni moja kwa nini hawawezi kufanya Tanzania kama walivyoweza kufanya Kenya?
Nashukuru mkuu, soon naanza kamchakato inshaallah.Ni app mkuu, NIDA peke yake inahitajika kuregister..ukishakuwa na app unaweza omba physical card (mastercard), hii inatumika ATM zote
Vizuri sana.Kenya inakuwa kwa kasi jamii isiyotumia pesa taslimu. Kuanzia kulipa nauli ya matatu hadi kununua mboga kwa mama mboga au karanga kwa muuza wa barabarani, malipo mengi sasa yanafanyika kupitia M-Pesa