simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,691
- 9,579
- Thread starter
-
- #21
credit economy? Mpesa is instant payment.Hilo linafaida gani kwa mtu wakawaida mkuu, nilidhani utaelezea faida zake ilituweze kusama ni maendeleo, ila mimi najua cash economy ni nzuri kiliko credit economy.
Hii kitambo sana. Nilikutana nayo mwaka 2022 .mombasaKenya is quickly becoming a cashless society. From paying for a matatu ride to buying vegetables from mama mboga or even karanga from a street vendor, most payments are now done through M-Pesa
The time will come...Afrika moja is a pleasing illusion but never to be achieved- is it?
Cashless economy kwa lugha nyingine ya uchumi inaitwa credit economy mkuu,Sio credit economy, ni cashless economy. Faida mojawapo kubwa ni inawawezesha wafanyabiashara wadogo na watoa huduma ndogo ndogo kuweza kukopa kirahisi, kwa haraka na kwa masharti rahisi ya dhamana, faida nyingine inaondosha usumbufu wa chenji.
Musimu wa covid? Ndio moja ya sababu iliyochochea malipo cashless.Hii kitambo sana. Nilikutana nayo mwaka 2022 .mombasa
Hii ikifanyika bongo itapunguza madalali na mawinga.Kenya is quickly becoming a cashless society. From paying for a matatu ride to buying vegetables from mama mboga or even karanga from a street vendor, most payments are now done through M-Pesa
SioCashless economy kwa lugha nyingine ya uchumi inaitwa credit economy mkuu,
Kwani credit payement sio instant? usichanganye credit payement na instalment payement ambao ni partial payement au future payement isio instanta, wewe hujawahi kukopa credit kwa simu sio instant payement?credit economy? Mpesa is instant payment.
Bongo tukienda full chasless, watakao athirika ni wa kipato cha chini kabisa. Ambao hawategemei payment systemsBongo hawataki cashless na chenji hawana sehemu za huduma, wanataka uwaachie mia tano tano kwa lazima.
fafanuanimetizama reply ngingi za vijana wanavyoizungumzia kenya nafikiri vijana wa tanzania wanachangamoto ya kutokutoka nje ya tanzania hivyo kuwa weupe sana juu ya mataifa mengine yanayowazunguka ukiachilia mbali ughabuni ukilinganisha na TANZANIA nchi ya maziwa na asali
Mfano wa kina nani na kwa nini?Bongo tukienda full chasless, watakao athirika ni wa kipato cha chini kabisa. Ambao hawategemei payment systems
i am talking about mama mboga, wauza mchicha , wanaotembeza mitumba, daladala.Mfano wa kina nani na kwa nini?
Tanzania sasa hivi karibia kila mfanyabiashara ana simu ndogo au smartphone. Malipo ya simu Kenya hakuna makato, kama Safaricom wameweza Kenya sijui kwa nini Vodacom wanashindwa Tanzania.i am talking about mama mboga, wauza mchicha , wanaotembeza mitumba, daladala.
Itamlazimu mama kuwana simu or smartphone , vocha which ni different expense, and top of that makato
Akina mamam mboga au daladala hawataeajii mteja akilipa 500 akatwe asilimia kadhaa za muamala
As if now kwa hela mkononi hakuna makato
Lakini gape la elimu kutumia mifumo hiyo
Mzungu walishapita huko zamani na sasa mwenyewe anakeambia Cash is King.Imekaa njema sana ,mambo ya kulipa kwa mikaratasi au mivyuma ni UPRIMITIVU.
Kiroho na ufunuo wa unabii wa siku za mwisho...
ndiyo hiyo hatua kuelekea digital currency na digital card ,cashless cardless every single detail and identity will be intergrated in a single small microchip which will be implanted into your body hamd or fore head ,hiyo ndiyo inaitwa CHAPA YA MNYAMA 666
UNYAKUO WA WATAKATIFU UTATOKEA any time from now even now this year between year 2026-2030
before 2030..unyakuo wa watakatifu utatokea..
machafuko ya dunia yataendelea na hali ya dunia na taifa itazidi kuwa mbaya day by day..
dhiki kuu inakuja..
watu wa Mungu hizi ni nyakati za mwisho..hayo mavita mnayoyaona huko yanakuja na hapa ...hayo machafuko yanakuja na hapa ulipo..hayako mbali...athari zake zitakufukia.
Hayo ma teknolojia na utandawazi na ELIMU na pesa ..ma AI hayapo kwa ajili ya kumsaidia mwanadamu ila lengo kuuu ni la kumtawala mwanadamu..kuitawala dunian.
tunafurahia AI tools na maroboti hayo yapo kww ajili ya kuitawala dunia sio kumsaidia mwanadamu