luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,985
Seriously? Wapi chanzo cha taarifa hii?Kenya imetangaza watalii hawatakwenda karantini watakapo tua nchini humo. Ila zuio hilo la kutokwenda karantini limawahusu watalii wazungu tu
Seriously? Wapi chanzo cha taarifa hii?
Wamesema ni ALL Passengers... sio watalii pekee. Kasome tena na uedit bandiko lako
Anyways ndio maana nime title maigizo ya kupambana na covid 19 ! Maana ktk mataifa yote yanayo fanya lockdown mgwni akiingia ktk nchi lzm akae karantin siku 14. Mpaka vipimo vitoke ss nyie mbona mnatufanyia maigizo ? Msipo kuwa makini huu mwaka mtaishia ndani mpaka february mwakaniW
Wamesema ni ALL Passengers... sio watalii pekee. Kasome tena na uedit bandiko lako
Unalipinga wakati CS macharia ndio kasema ilo na wa kenya wenzio ivyo ivyo wana lia lia may be until further noticeHata kama ila hii taarifa duh! Napinga..
Sio lazima siku 14.Anyways ndio maana nime title maigizo ya kupambana na covid 19 ! Maana ktk mataifa yote yanayo fanya lockdown mgwni akiingia ktk nchi lzm akae karantin siku 14.
πUnalipinga wakati CS macharia ndio kasema ilo na wa kenya wenzio ivyo ivyo wana lia lia may be until further notice
Tuko kwenye vita ukizubaa unaweza pigwa shaba na mwenzako. Yalinikuta mwenzio joto la jiwe alikuja niwakia siku moja, π nikamwambia vipi bro mi mbogo bana.π
Mi sio mkenya